Kwa hili nitawachukia wanawake milele. Na sitowasamehe.

ha ha ha kaka nampa pole sana. hivi mnajua ma bibi harusi wa siku hizi huwa wana mabwana kibao tu na wengine nawafahamu mabwana zao walihudhulia harusi zao achilia mbali kuwasaidia kununua shela.

tatizo huyu jamaa kangangania ukweli, asingetoa bastola wala haya yasingemfika. Wake wengi siku hizi wanagawa papuchi tena kwa sanaaaaaaaaa na waume wengi especially vijana ni vitombi balaa. Kinachosaidia ni kwamba hakuna anayejua mwenzie anafanya nini na muda gani yupo gesti.

jamaa kachunguza sana bata sasa kashindwa kumla kaishia kuchukia hata bata wazuri wasio na doa.

wake wazuri wapo ila trust me ni wachache sana, na wake wazuri huwa makini kwenye michezo yao ya nje. Lakini eti wa kwako peke yako mh thubutuuuuuuuuuu kama hujawi fumania shukuru mungu na usitake kuchunguza sanaaaaaa maana unaweza kufa kabisa.

ina maana hata hao wazuri bado wana michezo ya nje?mmh nnanza kujifikira mara2 kuoa
 
pole mkuu bastola mkonoji na kuzimia juu khaaa inauma.....utakuwa unazimia kila saa couse wanawake kila kona lol hata kwa office huendi tena dunia duara
 
ina maana hata hao wazuri bado wana michezo ya nje?mmh nnanza kujifikira mara2 kuoa

we jifikirie hat mara 10000000000000 mwisho wa siku utoa tu.

binadamu ni kiumbe wa ajabu sana unajua, na ni selfish by nature yani tena binadamu wa kiume ni selfish zaidi.

mi nshasemaga hapa hubby wangu ni kiboko wa kugonga wake za watu lakini anavyonichunga mimi utadhani kitu gani.

yaani hata hao midume 6 iliyotembea na huyo wife wa jamaa, am perfectly sure wana wake zao majumbani.

wanaume mnapenda sana wake za wenzenu lakini wake zenu hamtaki mnataka wasiguswe! thubutuuuuuuuuuuu

wake za watu wapigwa nje na waume za watu kwa asilimia kubwa wala sio na mabachelor!

kwahiyo, poleni sana nyie kina waume mnaoshindwa kupapaitikia wake zenu home badala yake mna[enda wa wenzenu.

humu JF watu wameshanitukana hadi basi, ila hiyo ndo picha halisi.

POLENI
 
Ndio matatizo ya kuoa bila kukaa na Demu ukamjua tabia na kuonja papuchi kama iko Sawa Sawa.....lakini si kulaumu sana, ndio matatizo ya kusoma seminary!

Kwann wengi tuliosoma Seminary tuna tunatokewa sn na haya? Ht hvyo mleta mada hajasema km alisoma seminary.
 
ama kweli kunguru hafugiki,pole kaka jipe moyo,huyo ni kicheche wanaume sita?hata condom hatumii au ana ngoma?kachek ngoma aisee
 
Inaskitisha sana kwa huyu mkuu but achana naye na anza maisha yako mapya na kamwe usimwamini mwanamke kiasi hicho kwasababu utaumia bure.
 
we jifikirie hat mara 10000000000000 mwisho wa siku utoa tu.

binadamu ni kiumbe wa ajabu sana unajua, na ni selfish by nature yani tena binadamu wa kiume ni selfish zaidi.

mi nshasemaga hapa hubby wangu ni kiboko wa kugonga wake za watu lakini anavyonichunga mimi utadhani kitu gani.

yaani hata hao midume 6 iliyotembea na huyo wife wa jamaa, am perfectly sure wana wake zao majumbani.

wanaume mnapenda sana wake za wenzenu lakini wake zenu hamtaki mnataka wasiguswe! thubutuuuuuuuuuuu

wake za watu wapigwa nje na waume za watu kwa asilimia kubwa wala sio na mabachelor!

kwahiyo, poleni sana nyie kina waume mnaoshindwa kupapaitikia wake zenu home badala yake mna[enda wa wenzenu.

humu JF watu wameshanitukana hadi basi, ila hiyo ndo picha halisi.

POLENI

lol! kama ndio hivyo itabidi tuanzishe open marriage,hakuna kuoneana wivu hiyo
 
Naandika nikiwa na kilio cha jitimai na majonzi yasiyoisha milele.

Mwezi desemba mwaka jana nimefunga ndoa na mke wangu.

Lakini tangu tufunge ndoa nikawa na mashaka na mwenendo wa mke wangu.

Wiki mbili zilizopita nilipata jambo la ajabu. Mke wangu kaniambukiza ugonjwa wa ngono. Nilipomuuliza akadai kuwa hajui amepataje.

Nikimweleza twende hospitali anakataa. Nimeenda nikatibiwa na naendelea na tiba.

Juzi usiku nikiwa nataka kupata ukweli nikaja nyumbani na kumwomba tuongee chumbani. Nikatumia mbinu ya kijeshi nikatoa bastola yangu ambayo hajawahi kuiona hata siku moja na nikaanza kumsaili.

Mke wangu akanitajia orodha ya wanaume aliotembea nao ktk kipindi hichi cha ndoa ya miezi 5 inatisha. Katembea na wanaume sita tofauti.

Nilijikuta napoteza nguvu na fahamu. Nilipozinduka mke wangu kadai tutengane kwani dhambi aliyonitendea haipaswi kumsamehe.

Kila baada ya kama masaa 3 napoteza fahamu. Ndugu zangu hawana taarifa. Lakini ndugu na wazazi wa mwanamke wanajua kinachoendelea.

Ni ngumu kuamini ktk hali ya kawaida lakini najikuta kila akija mwanamke akija kunijulia hali nataka kuzimia tu na napata hasira.

Sitofika kupenda tena na nawachukia wanawake hata mama yangu mzazi aliyenizaa.

yafaa uombe msaada wa Mungu kwa imani yako,ktk hilo ni yeye na wewe na mkeo,ndo mnaweza kupata suluhu.
 
we jifikirie hat mara 10000000000000 mwisho wa siku utoa tu.

binadamu ni kiumbe wa ajabu sana unajua, na ni selfish by nature yani tena binadamu wa kiume ni selfish zaidi.

mi nshasemaga hapa hubby wangu ni kiboko wa kugonga wake za watu lakini anavyonichunga mimi utadhani kitu gani.

yaani hata hao midume 6 iliyotembea na huyo wife wa jamaa, am perfectly sure wana wake zao majumbani.

wanaume mnapenda sana wake za wenzenu lakini wake zenu hamtaki mnataka wasiguswe! thubutuuuuuuuuuuu

wake za watu wapigwa nje na waume za watu kwa asilimia kubwa wala sio na mabachelor!

kwahiyo, poleni sana nyie kina waume mnaoshindwa kupapaitikia wake zenu home badala yake mna[enda wa wenzenu.

humu JF watu wameshanitukana hadi basi, ila hiyo ndo picha halisi.

POLENI

Hata hamna aliyekutukana mwaya wakati huo ni ukweli kwa asilimia kubwa
Wenyewe wanasema ni nature wao wanataka kuwala tu wa wenzao wa kwao wakiliwa ndo yaatokea kama ya huyu kaka etu hapo.
kama kwa mwali kwa liwa na kwa kungwi nako kuliwe
 
I swea, too much movie is harmful

http://www.youtube.com/watch?v=JRFaMHhwjlI

kabla haujazimia tena....pole baba. Lakini huoni kama unatuonea kutuchukia wote kwa sababu ya mkeo? Muulize vizuri kama ni kwanini alifanya hivyo. Kapime ukimwina uendelee na maisha yako.

Tahadhari...bastola inataka ushujaa baba. Kama ni adui utazinduka umefungwa kamba. Ningekuwa mkeo ungeamka unikute nimekushikia bastola na wewe uniambie wakati tunadate umenicheat mara ngapi.

BAK ama Sikonge plz, wimbo wa majanga umfariji huyu mpendwa.
 
yafaa uombe msaada wa Mungu kwa imani yako,ktk hilo ni yeye na wewe na mkeo,ndo mnaweza kupata suluhu.

WEWE acha hizo

hapo hakuna cha suluhu wala nini hata aje Mufti au pope.

hapa divorce tu hakuna kingine, huyo dada angekua anajali asingesema wazi eti wanaume 6, bora angesema mmoja then ajirekebishe kimyakimya.

sasa why aliamua kumwambia jamaa ukweli wote 100%? Huyo hampendi mwenzie hata kidogo.

DIVORCE
 
I swea, too much movie is harmful

IThas nothing to do with love my dear.

mtu akishakua mkeo/mmeo lazima atakuumiza hata kama humpendi. Hapa sual ni commitment imevunjwa and not love.

unadhani kumuonea mume/mke wivu ni kumpenda tu? sometimes wala hakuna mapenzi kivileeee ila wivu unakuepo
 
Naandika nikiwa na kilio cha jitimai na majonzi yasiyoisha milele.

Mwezi desemba mwaka jana nimefunga ndoa na mke wangu.

Lakini tangu tufunge ndoa nikawa na mashaka na mwenendo wa mke wangu.

Wiki mbili zilizopita nilipata jambo la ajabu. Mke wangu kaniambukiza ugonjwa wa ngono. Nilipomuuliza akadai kuwa hajui amepataje.

Nikimweleza twende hospitali anakataa. Nimeenda nikatibiwa na naendelea na tiba.

Juzi usiku nikiwa nataka kupata ukweli nikaja nyumbani na kumwomba tuongee chumbani. Nikatumia mbinu ya kijeshi nikatoa bastola yangu ambayo hajawahi kuiona hata siku moja na nikaanza kumsaili.

Mke wangu akanitajia orodha ya wanaume aliotembea nao ktk kipindi hichi cha ndoa ya miezi 5 inatisha. Katembea na wanaume sita tofauti.

Nilijikuta napoteza nguvu na fahamu. Nilipozinduka mke wangu kadai tutengane kwani dhambi aliyonitendea haipaswi kumsamehe.

Kila baada ya kama masaa 3 napoteza fahamu. Ndugu zangu hawana taarifa. Lakini ndugu na wazazi wa mwanamke wanajua kinachoendelea.

Ni ngumu kuamini ktk hali ya kawaida lakini najikuta kila akija mwanamke akija kunijulia hali nataka kuzimia tu na napata hasira.

Sitofika kupenda tena na nawachukia wanawake hata mama yangu mzazi aliyenizaa.

unajuaje kama unazimia kila baada ya masaa 3, umeweka alarm??
 
Sasa nitasema nini zaidi ya kukuambia pole!!!!
Inauma, inasikitisaha, inakatisha tamaa, inavunja moyo, inaua japo u hai, inatesa, inaumiza, yaani ni kila kilicho na majonzi!!!!

POLE SANA NDUGU.
 
Naandika nikiwa na kilio cha jitimai na majonzi yasiyoisha milele.

Mwezi desemba mwaka jana nimefunga ndoa na mke wangu.

Lakini tangu tufunge ndoa nikawa na mashaka na mwenendo wa mke wangu.

Wiki mbili zilizopita nilipata jambo la ajabu. Mke wangu kaniambukiza ugonjwa wa ngono. Nilipomuuliza akadai kuwa hajui amepataje.

Nikimweleza twende hospitali anakataa. Nimeenda nikatibiwa na naendelea na tiba.

Juzi usiku nikiwa nataka kupata ukweli nikaja nyumbani na kumwomba tuongee chumbani. Nikatumia mbinu ya kijeshi nikatoa bastola yangu ambayo hajawahi kuiona hata siku moja na nikaanza kumsaili.

Mke wangu akanitajia orodha ya wanaume aliotembea nao ktk kipindi hichi cha ndoa ya miezi 5 inatisha. Katembea na wanaume sita tofauti.

Nilijikuta napoteza nguvu na fahamu. Nilipozinduka mke wangu kadai tutengane kwani dhambi aliyonitendea haipaswi kumsamehe.

Kila baada ya kama masaa 3 napoteza fahamu. Ndugu zangu hawana taarifa. Lakini ndugu na wazazi wa mwanamke wanajua kinachoendelea.

Ni ngumu kuamini ktk hali ya kawaida lakini najikuta kila akija mwanamke akija kunijulia hali nataka kuzimia tu na napata hasira.

Sitofika kupenda tena na nawachukia wanawake hata mama yangu mzazi aliyenizaa.

Yamekukutaa eeeeehhh!!! Mkome kuoa wanawake msowajua historia zao. Na bado. Tegemea virusi ya ukimwi muda si mrefu.

  • Thanks
Reactions: amu
Hata hamna aliyekutukana mwaya wakati huo ni ukweli kwa asilimia kubwa
Wenyewe wanasema ni nature wao wanataka kuwala tu wa wenzao wa kwao wakiliwa ndo yaatokea kama ya huyu kaka etu hapo.
kama kwa mwali kwa liwa na kwa kungwi nako kuliwe

hapo kwa RED!

wera wera ! wanatiaje huruma
 
Back
Top Bottom