masoudmwevi
Member
- Aug 5, 2008
- 53
- 2
Vipi hali ya hewa lakini?
Nimepita Dodoma mjini kwa kweli ukiangalia mzunguko (ROUND ABOUT) wa pale Oil Com kama unakaribia ukumbi wa bunge na CBE yaani maua yake yamegeuka uchafu hayapendezi hata kidogo hakuna watu wa kuyatengeneza the same apply kwenye Round About ya kuingia stand kuu ya mabasi mjini lakini kwenye round about ya njia ya kwenda Nkuhungu hakuna jani hata moja lililopandwa
wadau mnasemaje kwani mara mia ya morogoro zinahudumiwa
nawasilisha
Si la maua tu, hata suala la barabara za DOdoma mimi linanitia shaka. Sijui ile barabara ya kuelekea ukumbi wa bunge ndo imekamilika au????? Maana ni mwaka na zaidi naona ni kokoto na lami ina mabonde. Mawaziri na wabunge wanapita kila kipindi cha Bunge, lakini hakuna anyeshangaa..
KWA KIFUPI DODOMA NI AIBU......
Ng'wanangwa watoto wa kirangi wapo kama kawaida yao wakijinafasi kwa mapishi yao
Is that you kwenye hiyo avatar...... umependenza kweli kweli
mkuu huna simu ya kemera utuletee picha?Nimepita Dodoma mjini kwa kweli ukiangalia mzunguko (ROUND ABOUT) wa pale Oil Com kama unakaribia ukumbi wa bunge na CBE yaani maua yake yamegeuka uchafu hayapendezi hata kidogo hakuna watu wa kuyatengeneza the same apply kwenye Round About ya kuingia stand kuu ya mabasi mjini lakini kwenye round about ya njia ya kwenda Nkuhungu hakuna jani hata moja lililopandwa
wadau mnasemaje kwani mara mia ya morogoro zinahudumiwa
nawasilisha