Kwa hili ni aibu ddodma

masoudmwevi

Member
Aug 5, 2008
53
95
Nimepita Dodoma mjini kwa kweli ukiangalia mzunguko (ROUND ABOUT) wa pale Oil Com kama unakaribia ukumbi wa bunge na CBE yaani maua yake yamegeuka uchafu hayapendezi hata kidogo hakuna watu wa kuyatengeneza the same apply kwenye Round About ya kuingia stand kuu ya mabasi mjini lakini kwenye round about ya njia ya kwenda Nkuhungu hakuna jani hata moja lililopandwa
wadau mnasemaje kwani mara mia ya morogoro zinahudumiwa
nawasilisha
 
masoudmwevi

Member
Aug 5, 2008
53
95
hali ya hewa ni jua tu labda baadhi ya maeneo ya singida ndio nikakuta maji as if imenyesha asubuhi yake tu
 
shiumiti

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
436
195
Vipi hali ya hewa lakini?

Hali sidhani kama hali ya hewa ni sababu ya kutopanda maua....si wamwagilie. Huko halmashauri kwani hakuna pesa za kuwalipa vibarua???
DODOMA WANATUABISHA. MEYA NA MKURUGENZI HABARI NDO HIYOOO!!
 
shiumiti

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
436
195
Nimepita Dodoma mjini kwa kweli ukiangalia mzunguko (ROUND ABOUT) wa pale Oil Com kama unakaribia ukumbi wa bunge na CBE yaani maua yake yamegeuka uchafu hayapendezi hata kidogo hakuna watu wa kuyatengeneza the same apply kwenye Round About ya kuingia stand kuu ya mabasi mjini lakini kwenye round about ya njia ya kwenda Nkuhungu hakuna jani hata moja lililopandwa
wadau mnasemaje kwani mara mia ya morogoro zinahudumiwa
nawasilisha

Si la maua tu, hata suala la barabara za DOdoma mimi linanitia shaka. Sijui ile barabara ya kuelekea ukumbi wa bunge ndo imekamilika au????? Maana ni mwaka na zaidi naona ni kokoto na lami ina mabonde. Mawaziri na wabunge wanapita kila kipindi cha Bunge, lakini hakuna anyeshangaa..

KWA KIFUPI DODOMA NI AIBU......
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,202
0

Is that you kwenye hiyo avatar...... umependenza kweli kweli
 
Madago

Senior Member
Feb 7, 2009
117
195
Hivi mpango wa kuhamishia ofisi zote za serikali kwenda Dodoma bado upo?
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,598
2,000
Nimepita Dodoma mjini kwa kweli ukiangalia mzunguko (ROUND ABOUT) wa pale Oil Com kama unakaribia ukumbi wa bunge na CBE yaani maua yake yamegeuka uchafu hayapendezi hata kidogo hakuna watu wa kuyatengeneza the same apply kwenye Round About ya kuingia stand kuu ya mabasi mjini lakini kwenye round about ya njia ya kwenda Nkuhungu hakuna jani hata moja lililopandwa
wadau mnasemaje kwani mara mia ya morogoro zinahudumiwa
nawasilisha
mkuu huna simu ya kemera utuletee picha?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom