Kuna tetesi kuwa Mbeya City wameshacheza mechi. Manji keshamalizana nao nje ya uwanja. Chezea mtonyo wa Manji wewe.
Acha pumba,hiyo mechi wewe ndio ulikuwa refa?
Nenda katoe ushahidi takukuru/TFF/Polisi sio unakuja kulialia lia hapaAcha kukurupuka!! kwani hujui mechi nje ya uwanja inachezwaje?... Manji ndo zake na hela zake zisizokatiwa kodi (ufisadi)...
Mbeya CITY wakijiloga kukubali huo mtonyo ndo wamejichimbia kaburi...
Nenda katoe ushahidi takukuru/TFF/Polisi sio unakuja kulialia lia hapa
Kuna tofauti baina ya kitambi na uja uzito. Kuna tofauti kubwa zaidi baina ya tetesi (kama alivyoandika mwanzisha mada) na ukweli.tatizo mashabiki wa yanga ni wabishi mno.
wakiambiwa ukweli wanakataa.
yanga wanamwona manji kama mungu mtu, ndio maana walimpigia magoti agombe tena aka kataa.
wanajua hawatapata tena hela ya kununua mechi