Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,209
- 40,650
Zile video za wapambe wao barabarani ndiyo zimewacost
Utetee hoja, sio kutuhumu!,,LATRA wako sahihi kabisa! mleta hoja kaa chini ujitafakari tena! Ila aonekana wewe ni mmiliki wa kupata faida ya tumbo lako na vito vyako bila kujali haki na maisha ya abiria wako!