mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 1,413
- 5,150
Licha ya kuwa Mimi ni mwanachama hai na kindakindaki wa CHADEMA, ila siungi mkono na nalaani vikali barua yetu yakuishitaki Yanga sc huko Fifa!
Nasema kwa hili la Yanga sc ,mmepuyanga , Yanga inaviongozi ,wanachama na mashabiki. Hayo yaliyofanywa yalifanywa na raisi wetu Eng.Hersi kwa utashi wake..Mngetafuta namna ya kumshitaki yeye na kamati yake na sio KUINGIZA timu nzima katika harakati za kisiasa ambazo Hadi sasa hazijawa na tija yoyote.
Kinachoonekana sasa ni kile kile cha miaka yote , kufanya siasa za matukio na mihemko..hivi hata kama Eng.Hersi angechangia yeye kama yeye au taasisi ya Yanga sc kuchangia kwa hao fisiemu sisi kama CHADEMA inatuuma nin?..
Je bila huo mchango LISSU angeachiwa huru.??bila huo mchango reform zingepatikana?..Hizi ni siasa za kipumbavu .Na kwa jinsi ninavyoipenda Yanga sc , Niko radhi kukishitaki chama changu cha CHADEMA na kuleta migogoro isiyokwisha hapo chamani.
Soma Pia: Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA
Yanga inatupa tuliowengi furaha kuliko nyinyi mnaopigania matumbo ya familia zenu. Msijasahaulishe nakufikiri watu wanapenda siasa kuliko mpira , na haijawahi tokea , isipokuwa kama chama cha siasa ni lazima muwe na namna yakuyaendea mambo kwa weledi pasipo kuzua taharuki za kipumbavu. Infact sio lazima Kila shabiki wa Yanga sc au kiongozi wa Yanga sc aipende CHADEMA au CCM na hiyo ndio demokrasia tuyapigania, uhuru wa watu kufanya wayapendayo pasipo kuingilia uhuru wa wengine.