haha
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 1,400
- 1,628
Nasoma vyombo mbalimbali kwamba aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar wakati wa awamu ya tano atafunguliwa mashitaka kwa matumizi mabaya ya ofisi! Iwapo itafunguliwa kesi hii iatakuwa ni ya pili Tangu Rais jpm afariki!
Chakushangaza na kusikitisha marehemu au mamlaka za uteuzi wakati wa marehemu hazikuona haya!?au ilikuwa ni makusudi ili mradi wanaonya hayo ni makada wa CCM? Kweli hii ni hatari kwa hiki taifa! Kwakuwa MTU mmoja yaani rais wa nchi ndiye anaekuwa Influencer wa kutaka nani ashitakiwe na nani asishitakiwe? Je !!! Kama rais asingeaga dunia hawa angeshitakiwa?
Kwakweli bado tupo na safari ndefu sana! Pia ni wakati sasa mamlaka za uteuzi kuanza au kuanzisha utaratibu wa kuchagua viongozi!!! Ifike mahali sio kila kada wa ccm anafaa kuwa kiongozi! Kwann kusiwena utaratibu wa kuomba hizi nafasi? Aombe MTU yeyote anaekidhi viwango na sifa?
Imekuwa ni mtindo watu kuhama vyama tenda mbele ya rais kwa lengo la kujionesha na kuunanga upinzani ili kujikomba kwa rais ili kupata uteuzi!? Je, Hilo linatosha kuwa kiongozi? (Tuliona juzi wakati mh alipokua ziarani Arusha) eti MTU anaomba radh kwa kuwa alikuwa upinzani!?? Kwan upinzani si upo kisheria? Kwann MTU aombe radhi!? Je, ni lazima kurudi ccm mbele ya rais!? Aina hizi ndio hupewa ukuu wa wilaya au mkoa!! Sasa unategemea iwaje!!wakipata hizo post!?
Tanzania tumefikia hatua hata mwanasiasa akiwa ccm akafoji cheti haguswi! Ajabu kabisa! Kiukweli ni aibu kubwa kwa mamlaka za uteuzi kuchagua MTU mwenye cheo cha ukuu wa wilaya kisha anafanya ujambazi na wahusika wanamwacha tu!!kuna haja ya kufanya mabadiliko ya namna ya kutoa hizi nafasi!! Kuwa kada peke yake haitoshi!!