Kwa hili la Sabaya na Makonda ni aibu kubwa kwa awamu ya tano

haha

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,400
1,628
Nasoma vyombo mbalimbali kwamba aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar wakati wa awamu ya tano atafunguliwa mashitaka kwa matumizi mabaya ya ofisi! Iwapo itafunguliwa kesi hii iatakuwa ni ya pili Tangu Rais jpm afariki!

Chakushangaza na kusikitisha marehemu au mamlaka za uteuzi wakati wa marehemu hazikuona haya!?au ilikuwa ni makusudi ili mradi wanaonya hayo ni makada wa CCM? Kweli hii ni hatari kwa hiki taifa! Kwakuwa MTU mmoja yaani rais wa nchi ndiye anaekuwa Influencer wa kutaka nani ashitakiwe na nani asishitakiwe? Je !!! Kama rais asingeaga dunia hawa angeshitakiwa?

Kwakweli bado tupo na safari ndefu sana! Pia ni wakati sasa mamlaka za uteuzi kuanza au kuanzisha utaratibu wa kuchagua viongozi!!! Ifike mahali sio kila kada wa ccm anafaa kuwa kiongozi! Kwann kusiwena utaratibu wa kuomba hizi nafasi? Aombe MTU yeyote anaekidhi viwango na sifa?

Imekuwa ni mtindo watu kuhama vyama tenda mbele ya rais kwa lengo la kujionesha na kuunanga upinzani ili kujikomba kwa rais ili kupata uteuzi!? Je, Hilo linatosha kuwa kiongozi? (Tuliona juzi wakati mh alipokua ziarani Arusha) eti MTU anaomba radh kwa kuwa alikuwa upinzani!?? Kwan upinzani si upo kisheria? Kwann MTU aombe radhi!? Je, ni lazima kurudi ccm mbele ya rais!? Aina hizi ndio hupewa ukuu wa wilaya au mkoa!! Sasa unategemea iwaje!!wakipata hizo post!?

Tanzania tumefikia hatua hata mwanasiasa akiwa ccm akafoji cheti haguswi! Ajabu kabisa! Kiukweli ni aibu kubwa kwa mamlaka za uteuzi kuchagua MTU mwenye cheo cha ukuu wa wilaya kisha anafanya ujambazi na wahusika wanamwacha tu!!kuna haja ya kufanya mabadiliko ya namna ya kutoa hizi nafasi!! Kuwa kada peke yake haitoshi!!
 
Kwanza wenyewe wanaambiana walindane Kwa uovu wao walio utenda, ila wajue waovu wore hapo mtaani kwao watafikiwa nakuwajibishwa Kwa muda muafaka.
 
kuna siku nilimwambia jamaa yangu ukiona kiongozi yupo madarakani na anafanya mambo ya ajabu ambayo hayaakisi mustakabari mzuri wa taifa basi wa kulaumiwa sio yeye bali ni hizi taasisi zetu
 
Hakuna jipya wala la ajabu kiasi cha kusema eti utawala awamu ya Tano uliyabariki hayo

Alipoingia Kikwete madarakani aliwafungulia mashtaka Basil Mramba na Daniel Yona ambao walihudumu ktk nyadhifa za uwaziri awamu ya Mkapa, na walikutwa na hatia

Alipoingia Magufuli viongozi kadhaa wa Serikali na Taasisi zake wa awamu ya Kikwete walifunguliwa mashtaka kama Mwaimu wa Nida, Mchechu Nhc, Malinzi TFF etc.

Na sasa Mamá yupo Ikulu si ajabu kuona baadhi ya watendaji wa awamu ya Magufuli wakipandishwa kizimbani.

Na hakuna tawala iliyopigiwa kelele za wizi, ufisadi, rushwa, uhujumu uchumi na ukwepaji kodi kama tawala ya Kikwete. Na kama Magufuli angesema adili nao nado to nado basi nakuhakikishia zaidi ya 60% ya watendaji wakuu wa taasisi za Serikali wangefikishwa kizimbani, ila ndio hvyo Magu aliona wengine inatosha kuwatumbua tu.

Fikiria scandal za Escrow, mradi wa majengo pacha ya BOT, EPA, Richmond, Chenji ya Radar, mishahara ya watumishi hewa etc zilivyoichachafya Serikali ya JK.
 
Magufuri alikuwa na matatizo ya akili..anawaita watoto wa wenzie wanyonge halafu wa kwake anawapa vitengo..hivi kwanza niulize huyu Rucy magufuri yuko wapi..bado ni das ?... huyu dada alikuwa amepewa ulinzi kuzidi hata wa waziri mkuu..
 
Dada nimekugusa!??/baada ya kumtaja bashite!
Bashite ni fala tu DPP asimfungie macho na umeandika kitu cha maana sana ila kukisoma inaleta shida kdogo maana hujaacha nafasi na gazeti ni kubwa
 
Jabali feki hata kuhutubia UN haliwezi!!!jabali feki ooooh uchumi wa kati kumbe kopakopa!!!
Jabali limefanyiwa wayaringi kama haisi za Tandika kwenda kwa limboa!!!poor jabali
Endesheni nchi, si kumtaja taja, yaani bila yeye hamuwezi kuongoza nchi au?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom