Kwa hili la mbeya city mhhh???

Kwa hili la mbeya city mhhh???

Huna lolote ushabiki na ulimbukeni umekujaa. Mbona nyie mliwapopoa wagosi? Au hilo hukuliona? Toka zako tuachie timu yetu.
 
Acha kunipangia maisha wewe

pole sana...imarisha hisia na moyo wako to face the facts. watu walishachoka na mindsets kama uliyonayo. charity begins at home...anyway labda wewe ni mkazi wa jangwani dar.
 
hapa umeandika kihunikihuni tu......kweli timu uliozitaja hapo ni za kihuni
Ukweli siku zote unabakia kuwa hivyo tu. Hata ukiupaka rangi mbaya mwisho wa siku rangi hiyo itachuja na kuacha ukweli ukidhihiri
Kuukubali ukweli na kuufanyia kazi ni ukombozi
 
Nilikua wakwanza kuisifia timu hii ngeni ya mbeya city kua itafika mbali..
Hii ilitokana na kuona timu imejipanga kwa kuuza jezi zao we
hovyooo...!kwa hyo kunya anye kuku eeh?mlivyovunja vioo vya gari la coast unioun ule sio uhuni?
 
Ukweli siku zote unabakia kuwa hivyo tu. Hata ukiupaka rangi mbaya mwisho wa siku rangi hiyo itachuja na kuacha ukweli ukidhihiri
Kuukubali ukweli na kuufanyia kazi ni ukombozi
ni vigezo gani vilitumika kuziita timu zote hizi moro untd,kahama, afc,majimaji za kihuni......ila siyo simba wala yanga...
A thing is not necessarily true because a man dies for it
 
nilijikiita zaidi kwenye kitendo kilichofanywa na mbeya city kuwa ni cha kihuni.
Hata kama kitendo kile kingefanywa na yanga/simba/azam nk- bado kinabaki kuwa ni cha kihuni na huo ndiyo ukweli ninaosimamia
 
mbona hukujikita kwa mashabiki wa yanga walivyowapiga coastal union
 
Mashabiki wa yanga walipiga mawe basi la coastal union na kumjeruhi mchezaji, je hilo unalisemea vp?
Angalau mashabiki wa Yanga walifanya ujinga huo baada ya (eti) kukerwa na maamuzi ya uwanjani. Ni ujinga wenye kisingizio, japo cha kijinga pia. Washabiki wa Coastal msimu uliopita walilipiga mawe basi la Yanga lilipokuwa linaingia Tanga. Ujinga huu una kisingizio gani, japo cha kijinga? Kadhalika ndivyo walivyofanya Mbeya City. Sasa yupi mjinga zaidi? Nadhani ni yule anayetetea ujinga mdogo mbele ya ujinga mkubwa.
 
Kwa kifupi mkuu football hooliganism ni worldwide so yanga should live with it waache visingizio kwani wao ni nani mpaka washinde cku zote? hata hayo yanga huwa wanafanya mpaka vitendo vya kishirikina kwa kuruka kuta za viwanja, so hili linafanya intimidations kwa timu zingine
 
Football hooliganism ni worldwide ....... nini? Ni world wide blessing? Au ni worldwide evil, shame, problem, ... you name it? Maana hata mihadharati ni worldwide problem. Unyanyasaji kijinsia, rushwa, n.k. Ndio tuendelee ku 'live with them all eti tu kwa sababu ni matendo worldwide? Hapana! Mimi hapa siitetei timu yoyote, ikiwamo hiyo Yanga. Ninachokosoa ni TFF na washabiki wa timu zinazonufaishwa na uhuni huo kutoona haja ya kupambana na uozo huu ambao chanzo chake ni kile kinachoitwa uzalendo kwenye mpira. Tusitetee uovu kwa kuwa tu aliyefanyiwa ni hasimu yetu au aliyefanya ni rafiki yetu.
 
Nilikua wakwanza kuisifia timu hii ngeni ya mbeya city kua itafika mbali..
Hii ilitokana na kuona timu imejipanga kwa kuuza jezi zao wenyewe,. Hii ilifanya nione itafika mbali sana,. Mwna hili jukwaa nafkiri mliliona,.

Kwa kitendo cha kihuni walichofanya juzi pale uwanjani najuta sana kutoa maoni kama yale,. Hii timu ni ya kihuni na wavuta bang na isipo angalia itaelekea kule walikoishia moro untd,kahama, afc,majimaji, na timu nyingine za wahuni ,.
Plz mbeya city badilikeni kama mnataka mapinduzi ya sola,. Lijezi lenu nimeshalichomelea mbali,.

dua la kuku hilo babu enheee...
 
Football hooliganism ni worldwide ....... nini? Ni world wide blessing? Au ni worldwide evil, shame, problem, ... you name it? Maana hata mihadharati ni worldwide problem. Unyanyasaji kijinsia, rushwa, n.k. Ndio tuendelee ku 'live with them all eti tu kwa sababu ni matendo worldwide? Hapana! Mimi hapa siitetei timu yoyote, ikiwamo hiyo Yanga. Ninachokosoa ni TFF na washabiki wa timu zinazonufaishwa na uhuni huo kutoona haja ya kupambana na uozo huu ambao chanzo chake ni kile kinachoitwa uzalendo kwenye mpira. Tusitetee uovu kwa kuwa tu aliyefanyiwa ni hasimu yetu au aliyefanya ni rafiki yetu.
Huwezi muadhibu mtoto kwa kosa la baba mkuu, mashabiki ndo walofanya vurugu na people's emotions differ, so kwa wenzetu kamera zinakuwepo kila sehemu so aliyerusha jiwe anamulikwa na in most cases kufungiwa maisha kuhudhuria soka katika uwanja huo, na hilo hupelekea wengine kufunguliwa mashtaka ya jinai, Yanga waache visingizio na wajipange maana ligi siyo lelemama, na suluhu ya Prisons nayo ni hujuma?
 
Na pale timu zinapoamriwa kucheza bila ya watazamaji, kosa linakuwa ni la wachezaji? Na klabu inapotozwa faini kwa maneo na vitendo vya ubaguzi, ni kwa sababu ya makosa ya wachezaji? Na klabu za Uingereza zilipoziwiwa kushiriki mashindano ya UEFA kwa miaka kadhaa, ni kwa sababu ya makosa ya wachezaji? Ni vyema kuwa na ukweli kwanza kabla ya kusema. Hao 'wenzetu' ndio ambao hawana utani kabisa na uhuni w washabiki. Klabu zinawajibishwa kwa uhuni wa washabiki wao. Niliyokutajia ni mifano michache, unakumbuka maafa ya El ahly. Na Port Said? Mbona vurugu walifanya washabiki wa Port Said na adhabu ikapewa timu? Iwe wewe na TFF yako tu ndio wenye mawazo tofauti?
 
Mkuu ndomyana Mbeya city imekuja kwa moto lakini we subiri kuanzia round 7 uone watakavyoanza kupotea.
Nadhani coach wao ni yule Mwambusi,ni kocha mzuri lakini by the end of the day watamtimua.
Najua mzunguko wa pili wakija Dar basi wajiandae kuchukua kipigo cha mbwa mwizi.
kukalili kubaya sana..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom