Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,886
Kwa kweli pamoja na utofauti wa hapa na pale. Ndugu zetu wa kenya wamekuwa pamoja na sisi katika msiba wa taifa uliotupata.
Nimemuona waziri wa elimu toka kenya kafika kwenye msiba. Kweli nia jambo zuri sana katika kuimarisha ushirikiano.
Kweli wadogo zetu wakenya wanajua sisi wakubwa zao ni tegemeo lao na wanakuwa bega kwa bega na sisi katika kipindi hiki cha majonzi.
Asanteni sana wadogo zetu wakenya. Mungu awatie nguvu katika uchaguzi.