POLE sana Livepool FC.
Kwa jinsi mabadiliko ya teknolojia kwa sasa hivi yalivyo na Kasi hakuna kitu kinachoweza kuyazuia.
Kusimama kwenye foleni kwa sasa ni mambo ya ujima, na ni risk kubwa maana mnaweza kuvamiwa na majambawazi na kuporwa.
Vyuo na mashule hawana jinsi ya kukwepa wimbi la teknolojia...Mwanzoni watakuwa wagumu sana, lakini with time watalazimika kukubali tu!
Makampuni ya fedha yanaweza kutengeneza customer tailored programs za kulipia kwa electronic money(M-Pesa, Tigopesa etc), huku mtumaji akiwa Bar!
Ni muda muafaka kabisa!