JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,759
- 10,484
Naandika haya maneno machache kwa kiu ya kujua nia na madhumuni ya wabunge wetu pale bungeni.
Najua fika kuwa wanahaki ya kulindwa na kinga ya bunge kama wanavyo dai wao.
Lakini hili la madawa ya kulevya nawaomba sana wajitafakari kwanza kama wanania njema na hii nchi.
Miaka iliyo pita watu wengi sana wametajwa na watu mbalimbali tena hadalani na watu walikaa kimya.
Mfano mzuri 1. Kikwete kama Rais alitajwa kwenye list of shame.
2. Kinana kama katibu wa ccm alitajwa.
3. Lowasa kama waziri mkuu alitajwa hadi akajiuzuru wazifa wake.
4. Na watu wengine kama akina karamagi, change n.k walitajwa.
Kwa nini hili la dawa za kulevywa linawafanya hawa wabunge wetu wapate hasira?
Nini kiko nyuma yao?
Watu wanataka utaratibu wa kimyakimya utumike, ukishafika mahakamani hautajulikana?
Naamini kabisa vita ya madawa ni ngumu sana, na hawa watu ni wajanja sana na wanapesa mingi. Hata wabunge wetu wanaweza wakanunuliwa.
Mi naona bora hata ccm iondoke tu madarakani ili watu wetu na jamii yetu ya kitanzania ipone.
Wabunge wetu msije kutuomba kura zetu mwaka 2020, mumeonyesha wasiwasi hasa kwa jamii ya watazania walio angamiziwa familia zao, wapendwa wao hawajielewi tena. Come 2020.
Mungu ibariki Tanzania.