Kwa hili jaman , Love is like a blindness..

sangwine

Senior Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
144
Reaction score
45
Mapenzi yana nin ndani.. Ni ushetan au hisia zitokanazo na Mungu mwenyewe..? Unapenda kwa dhati sehemu dhahili ambapo pana dosari na kuacha sehemu dhahili yenye amani na uaminifu... Naogea maneno haya baada ya kupata evidence zakutosha... Unakuta kaka au dada kazama ktk mapenz ya dhati kwa dada au kaka ambaye ni kicheche na mwenye kuonyesha kila dalili za usaliti na kutopenda.. Wakati huohuo anafahamu mtu sahihi ambaye atakuwa na mapenz ya dhati juu yake, tatizo moyo umeufanya mgumu kama mafarisayo... Sometimz anakuja kwako na kuomba ushaur juu ya tabia chafu za jamaa yake, lakn hakuna analoweza kuchukua hatua... JE KUPENDA KUNAWEZA BADILI TABIA CHA ZA MWANAMKE AU MWANAMKE, mi nadhani haiwezakani hata biblia inasema UKIMTEGEA MUNGU UTAPEWA WA KUFAFANANA NAWE..
 
hapo ulikuwa unamaanisha nini!!!!!!!

halafu love is no longer blind.....
 
Kinda of true, kawaida wengi hupenda pasipopendeka, kuna mkaka alinipenda sana, yani hata ningemwambia aniletee dunia angenletea, lakn moyo wangu ulimkataa kata kata, kila nlipojaribu nimpende hata kidogo ilishindikana, so lov is blind and stupid mwisho wa siku naeza kumpenda jitu halifai hata kidogo!
 
Hapo umenena its true dat lov is blnd side yang kuna dada kama kiroboto alivyo niganda amejua kama cmpend ila mbaya zaid anataka mtoto 2u this is stupid thng...%%%
 
Haya ni matokeo ya kujihusisha na mambo yasiyokuhusu
'
Ishi maisha yako,acha kuishi maisha ya wengine!
 
Back
Top Bottom