Mkazuzu
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 449
- 559
tukiacha ushabiki wa kisiasa,leo habari kubwa ni waziri mkuu mstaafu bwana Edward Lowassa kuhamia CHADEMA,lakini ITV hawajaipa uzito habari hiyo.sote tunafahamu historia ya siasa hapa nchini,hivyo kitendo cha mtu aliyewahi kushika cheo kizito nchi hii kama Lowassa kuhamia upinzani siyo jambo la kutoipa coverage ya kutosha,sijui ndo kubalance habari huku!