Kwa hili, hachomoi mtu

Kwa hili, hachomoi mtu

Jje's bhana!. You look like a kid and you like kidding. Ila ucjal, your message delivered.
am not a kid and not kidding. if the message has been delivered please act on it kwa kumalizia kastory bhana looooh, nasubiria hivyo.

unaweza andika part II mimi itakuwa sawa tu.
 
siamin kiviiile. baada ya kuwasha taa hukujaribu hata kidogo kusogea kidogo kwa kochi?
Hapana my dia. Me nimeumbwa na uso wa haya na moyo wa subira. Niliweka tu sawa magazine yangu nikasepa.
 
am not a kid and not kidding. if the message has been delivered please act on it kwa kumalizia kastory bhana looooh, nasubiria hivyo.

unaweza andika part II mimi itakuwa sawa tu.
Hunitakii mema wew, mtoto mwenyew bado wa serikali. Ngoja amalize shule ntakuja malizia..
 
Hata sijaridhika kwa kweli cjui y

ila sina namna naamini tu mie kwa lazima.
Ha ha ha ha kwahyo ulitaka amalizie pale alipowasha taa ha ha ha... nmeelewa ending yako ikojeee...
 
Hata sijaridhika kwa kweli cjui y

ila sina namna naamini tu mie kwa lazima.
Ha ha ha ha kwahyo ulitaka amalizie pale alipowasha taa ha ha ha... nimeelewa ending yako ulitaka iweje
 
unakaa wapi brother nikutembelee halafu aje uone
 
Back
Top Bottom