Kwa hili, hachomoi mtu

Kwa hili, hachomoi mtu

Huyu mtoto sijui alikuwa na maana gani? Siku moja nikiwa chumbani kwangu, ghafla demu mmoja kagonga mlango kisha nikamfungulia.

Nina kawaida ya kuzima taa chumbani nyakati za usiku huku nikitazama tv program tofauti tofauti. Hivyo sipendelei sana mwanga mkali wa tube light time hizo. Sasa basi, baada ya huyu kiumbe kuingia ndani, nikamhoji kulikon usiku usiku. Kanijibu, eti nimesikia tamthilia niipendayo imeanza, nimeshindwa kujizuia imebidi nije.

Duuh, ikabidi nimuulize mbona kwenu pia kuna TV tena kubwa tu. Demu oooh! dingi kaweka channel ya mpira na mimi kwangu mpira haupandi kabisa. Tukiwa tunahojiana hayo, tayari mtoto keshakaa pembeni mwa sofa langu dogo na kaweka na vimiguu vyake juu ya meza.

Ikabidi nichenji mada kidogo, sasa wewe badala kutumia muda huu kujianda na pratical ya Bios kesho j3, unakuja kwenye tamthilia kweli? Nikashangaa mtoto kachekaa, kisha kaniambia yani hilo haswa ndo lililonileta kwako.

Ikabidi nihoji tena, kwa hiyo hapa ni maabara?. Eti oooh! shem nae bhana, yaani umesoma mpaka chuo kikuu hujui tu kuwa practical za Bios zinafanyika popote provided requirements zote ziwe mezani.

Mmmh nilizidi kupigwa na butwaa, unajua hiki kitoto two years ago nilikuwa natembea na dada ake ila kwa sasa dada yake yuko India masomoni.

Kwa kuwa demu nilikuwa simuelewi elewi anachokusudia haswa, ikabidi niwashe taa kozi palikuwa na mwanga hafifu sana wa tv. Kutahamaki kidemu chenyewe kumbe kina kanga moja tena imelowa yaani kinaonekana ndo kimetoka bafuni, kikaunga moja kwa moja kwangu.

Mbaya zaidi miguu yenyewe kimeweka mezan dizain kama kilikuwa kimetanua mipaja yake. Japo nilipitisha macho kwa kasi ya ajabu mitaa ya kati, nilichonoti hakakuwa kamevaa hata pichu.

Jamani kitoto chenyewe cha kusoma, halafu dada ake nilikuwa nakulaga. Nikafikiri fasta, likanijia wazo la kumbipu msela wangu. Jamaa bila hiana kanivutia waya. Ndo ikawa salama yangu, nilikaambia hebu ngoja nimuone jamaa angu kuna issue naenda kuchukuwa fasta ntageuza.

Nikija, utakuja endelea kuangalia tamthilia yako. Kidemu kikaniambia, uwahi basi, ukichelewa mimi ntakufata huko huko.

Ndo imetokea mtu umekamega, watu wanaanza oooh umebaka. Me nafikiri sheria iwe inaangalia na mazingira, lait ningekachukuwa video hata nyie mgechoka.
Si kwa mitego hiyo jamani! Nyie wadada shetani anawaona.
Ongera kwa kushirikisha kichwa cha juu kabla ya cha chini, ni wanaume wachache sana wenye uwezo huo, hapo lazima kichwa cha chini kikulaumu. Wengine huwa hatunaga maswali kama hayo ulouliza, tukionaga tu kichwa cha juu kina zimia kinabaki cha chini katika utendaji, hapo inayobaki ni kulaga tu, ukimaliza kichwa cha juu kikipata fahamu ni kujilaumu kwa kwenda mbele.
 
hata mimi nimeona hivyo hivyo na amekatiza story nusu kuna kitu alifanya kabla ya kupiga simu aisituleteee.

hatupendagi story za nunu nusu ujue?
Mbona iko wazi my dia, nimesema baada ya kuongea na jamaa angu ndo ikawa salama yangu. It means nikawa nmeruka kihunzi trough that trick.
 
Mbona iko wazi my dia, nimesema baada ya kuongea na jamaa angu ndo ikawa salama. It means nikawa nmeruka kihunzi trough that trick.
siamin kiviiile. baada ya kuwasha taa hukujaribu hata kidogo kusogea kidogo kwa kochi?
 
Ongera kwa kushirikisha kichwa cha juu kabla ya cha chini, ni wanaume wachache sana wenye uwezo huo, hapo lazima kichwa cha chini kikulaumu. Wengine huwa hatunaga maswali kama hayo ulouliza, tukionaga tu kichwa cha juu kina zimia kinabaki cha chini katika utendaji, hapo inayobaki ni kulaga tu, ukimaliza kichwa cha juu kikipata fahamu ni kujilaumu kwa kwenda mbele.
Uwiiii, we jamaa naona umeamua kukipa baraka zote kichwa cha chini.
 
Back
Top Bottom