Kwa Hili Graduates Bado Sana


unatetea uhuni wa ma-HR wenzio
 
mtaani ni zaidi ya masters unajikuta umejua mambo mengi kwa wakati mmoja . i feel it imenifanya kuwa jasiri
 
Umeandika vizuri kuwapa moyo hawa madogo, kazi kwao kuwa na akili za kujiongeza
 
Ushauri mzuri sana, ila ukweli mchungu ni kwamba graduates wengi wa sasa hawaajiriki!
 
Kuna interview moja nilienda, written. Wakaitwa nje wote waliosahau kuja na vyeti, na kutokuja na cheti ni disqualification tayari. wapo waliorudishwa ndani, ila kuna dada mmoja hakuruhusiwa kabisa kufanya ile pepa. Akarudi ndani akachukua pochi yake akatoka nje. Baada ya kama dakika 4, akarudishwa na nafikiri ndo msimamizi mkuu, akawaambia "nimeambiwa mmuruhusu huyu dada afanye mtihani"..!!! I got shocked, na nilisikia cz nilikuw front row na pepa ilikuwa bado haijaanza so it was easy to concentrate on wat was discussed.
Kwahyo hyo fact NI KWELI TO SOME EXTENT na SIO KWELI KWA KIASI FULANI. Kubebana na undugu upo mzee..!!!! Ni vigumu sn kuavoid hyo situation.
 
umenielewa nilichosema??
 
Elimu ya darasani na kitaa tofauti kabssaaaaa,dats hata couple za chuo after then mission imposible
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…