Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
- Thread starter
- #21
Inabidi tuelezanee tuu hali halisiDaaaahh!!!! Nduguu umenenaaaa

Inabidi tuelezanee tuu hali halisiDaaah! Mkuu umeandika madini tuu....
its matter of opinion.Sometimes Yes,Sometimes No..
the truth has been spokenIts fact
the truth has been spokendah!!! ni kama unachana zile verse za Kizazi Kipya.....
ila ndo UKWELI ukubwa "jalala" tupambaneee tu
Uwezi kufanya jambo kila mtu akaridhika... na ukifanya mambo kuridhisha watu utajikuta pale pale.
Tatizo la graduates wengi ni waoga wa competition.. Unalalamika interview ni watu wengi je kama wote wamekizi vigezo tatizo la HR ni lipii? wakiitwa wachache kila interview usipokuta jina lako unalalamika wanawekana kuna udini, kuna undugu... je wafanyenini?
Kazi sio sawa na mirathi kwamba utaitwa na wazazi wako wakukabidhii tuuu... unatakiwa upambane.. siasa za ujamaa zimepitwa sasa hiviii tuko CAPITALISM NA KATIKA CAPITALISM ONLY THE FITTEST WILL SURVIVE..
kwaiyoo embrace challenges in order to be competent... Sio kila jambo mnalalamika ukitegemea kuitwa interview peke yako hiyo ofisi itakuwa ya mzazi wako.. UKIONA wameitwa wengiiii na una ramani zakoo usipoteze muda achia wenye shidaaa hiyooo... LAWAMA NI MZIGO WA MAFIIII UTAKUNUKIA NA WEWE.. BE RATIONAL...
this is capitalism the world in which strongest will survive the weak will remain poor. SO HATE ALL WEAKNESS, HATE ALL WEAKNESS IN OTHERS BUT MOST OF IT, HATE ALL WEAKNESS IN YOUR SELF. EMBRACE COMPETITION TO BE THE FOUNDATION OF COMPETENT WORKER IN YOUR SELF. THE FACT is hawawezi kuita wachacheee ila wataita wengi wenye vigezooo mshindanie nafasi 1.
MAISHA HAYANA FORMULA MSIISHI KISOMI SANAAA MENGINE ELIMU YA MTAA NDIO NGUZO MAMA.. JENGA URAFIKI NA NJAA UISHI JANGWANI KAMA NGAMIA... MAISHA HAYAITAJI SILAHA JAPO NI VITA YA KUUMIA. Life is all about competition.... ni vitaaaa..Watakuja wengine wana kazi na magari kwenye interview ila usiogopeee pambanaa hata wakija na ndegee. you can't avoid that.
acheni kulaumu HR WAKO FAIR. Laumu kama kuna unfair competition.

hahahaha niko kwenye recruitment...ahaaaaaaa wewe hr bana loh
asante kwa kusomaa... truth help..Hakika nimeukubali huu uzi...............well said
well quoted."MAISHA HAYANA FORMULA MSIISHI KISOMI SANAAA MENGINE ELIMU YA MTAA NDIO NGUZO MAMA.. JENGA URAFIKI NA NJAA UISHI JANGWANI KAMA NGAMIA... MAISHA HAYAITAJI SILAHA JAPO NI VITA YA KUUMIA. Life is all about competition.... ni vitaaaa..Watakuja wengine wana kazi na magari kwenye interview ila usiogopeee pambanaa hata wakija na ndegee. you can't avoid that.
acheni kulaumu HR WAKO FAIR. Laumu kama kuna unfair competition" CC Kipilipili
BRN + Walimu wa voda faster=?BRN imezika hawa watu
maisha hayana formula wasiishi kisomi sana... mengine elimu ya mtaani..Tukubaliane elimu si darasani tu, akimaliza cuo atakuja mtaani kuona hali halisi ndo atapata elimu nyingine na ndio atashutuka na uhalisia
that is nature of capitalism..well said. only the fittest ndio watasurvive
Kuwa wengi kwenye interview haimaanishi interview itakuwa fair mnaweza mkawa lukuki lakini mmesindikiza wengine ishu sio kusoma tu halafu hujui hata utafanyia nini na wapi elimu uliyosoma. Strategic plan hazianzi tu baada ya kumaliza degree zinaanza even before za wapi hizo mnaleta.Watakuja kukusoma muda si mrefu.
Wanataka wakimaliza chuo wapangiwe post kiulaini bila hata kujua jinsi ya kuchuja mbu na ngamia vichwani mwao!