Kwa Hili Graduates Bado Sana

Kwa Hili Graduates Bado Sana

Uwezi kufanya jambo kila mtu akaridhika... na ukifanya mambo kuridhisha watu utajikuta pale pale.

Tatizo la graduates wengi ni waoga wa competition.. Unalalamika interview ni watu wengi je kama wote wamekizi vigezo tatizo la HR ni lipii? wakiitwa wachache kila interview usipokuta jina lako unalalamika wanawekana kuna udini, kuna undugu... je wafanyenini?

Kazi sio sawa na mirathi kwamba utaitwa na wazazi wako wakukabidhii tuuu... unatakiwa upambane.. siasa za ujamaa zimepitwa sasa hiviii tuko CAPITALISM NA KATIKA CAPITALISM ONLY THE FITTEST WILL SURVIVE..

kwaiyoo embrace challenges in order to be competent... Sio kila jambo mnalalamika ukitegemea kuitwa interview peke yako hiyo ofisi itakuwa ya mzazi wako.. UKIONA wameitwa wengiiii na una ramani zakoo usipoteze muda achia wenye shidaaa hiyooo... LAWAMA NI MZIGO WA MAFIIII UTAKUNUKIA NA WEWE.. BE RATIONAL...

this is capitalism the world in which strongest will survive the weak will remain poor. SO HATE ALL WEAKNESS, HATE ALL WEAKNESS IN OTHERS BUT MOST OF IT, HATE ALL WEAKNESS IN YOUR SELF. EMBRACE COMPETITION TO BE THE FOUNDATION OF COMPETENT WORKER IN YOUR SELF. THE FACT is hawawezi kuita wachacheee ila wataita wengi wenye vigezooo mshindanie nafasi 1.

MAISHA HAYANA FORMULA MSIISHI KISOMI SANAAA MENGINE ELIMU YA MTAA NDIO NGUZO MAMA.. JENGA URAFIKI NA NJAA UISHI JANGWANI KAMA NGAMIA... MAISHA HAYAITAJI SILAHA JAPO NI VITA YA KUUMIA. Life is all about competition.... ni vitaaaa..Watakuja wengine wana kazi na magari kwenye interview ila usiogopeee pambanaa hata wakija na ndegee. you can't avoid that.

acheni kulaumu HR WAKO FAIR. Laumu kama kuna unfair competition.

unatetea uhuni wa ma-HR wenzio
 
mtaani ni zaidi ya masters unajikuta umejua mambo mengi kwa wakati mmoja . i feel it imenifanya kuwa jasiri
 
Umeandika vizuri kuwapa moyo hawa madogo, kazi kwao kuwa na akili za kujiongeza
 
Ushauri mzuri sana, ila ukweli mchungu ni kwamba graduates wengi wa sasa hawaajiriki!
 
Kuna interview moja nilienda, written. Wakaitwa nje wote waliosahau kuja na vyeti, na kutokuja na cheti ni disqualification tayari. wapo waliorudishwa ndani, ila kuna dada mmoja hakuruhusiwa kabisa kufanya ile pepa. Akarudi ndani akachukua pochi yake akatoka nje. Baada ya kama dakika 4, akarudishwa na nafikiri ndo msimamizi mkuu, akawaambia "nimeambiwa mmuruhusu huyu dada afanye mtihani"..!!! I got shocked, na nilisikia cz nilikuw front row na pepa ilikuwa bado haijaanza so it was easy to concentrate on wat was discussed.
Kwahyo hyo fact NI KWELI TO SOME EXTENT na SIO KWELI KWA KIASI FULANI. Kubebana na undugu upo mzee..!!!! Ni vigumu sn kuavoid hyo situation.
 
umenielewa nilichosema??
 
Elimu ya darasani na kitaa tofauti kabssaaaaa,dats hata couple za chuo after then mission imposible
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom