Kwa Hili Graduates Bado Sana

dah!!! ni kama unachana zile verse za Kizazi Kipya.....

ila ndo UKWELI ukubwa "jalala" tupambaneee tu
 

ahaaaaaaa wewe hr bana loh
 
Tukubaliane elimu si darasani tu, akimaliza cuo atakuja mtaani kuona hali halisi ndo atapata elimu nyingine na ndio atashutuka na uhalisia
 


Hakika nimeukubali huu uzi...............well said
 
"MAISHA HAYANA FORMULA MSIISHI KISOMI SANAAA MENGINE ELIMU YA MTAA NDIO NGUZO MAMA.. JENGA URAFIKI NA NJAA UISHI JANGWANI KAMA NGAMIA... MAISHA HAYAITAJI SILAHA JAPO NI VITA YA KUUMIA. Life is all about competition.... ni vitaaaa..Watakuja wengine wana kazi na magari kwenye interview ila usiogopeee pambanaa hata wakija na ndegee. you can't avoid that.

acheni kulaumu HR WAKO FAIR. Laumu kama kuna unfair competition" CC Kipilipili
 
Last edited by a moderator:
well quoted.
 
Tukubaliane elimu si darasani tu, akimaliza cuo atakuja mtaani kuona hali halisi ndo atapata elimu nyingine na ndio atashutuka na uhalisia
maisha hayana formula wasiishi kisomi sana... mengine elimu ya mtaani..
 
Watakuja kukusoma muda si mrefu.
Wanataka wakimaliza chuo wapangiwe post kiulaini bila hata kujua jinsi ya kuchuja mbu na ngamia vichwani mwao!
Kuwa wengi kwenye interview haimaanishi interview itakuwa fair mnaweza mkawa lukuki lakini mmesindikiza wengine ishu sio kusoma tu halafu hujui hata utafanyia nini na wapi elimu uliyosoma. Strategic plan hazianzi tu baada ya kumaliza degree zinaanza even before za wapi hizo mnaleta.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…