Kwa hili Godbless Lema unakosea

Josephine usihofu ni mapinduzi ya kifkra.
 
wewe JOSEPHINE03 usituchanganye,Mkapa aliposema Arumeru mashariki kuwa tume tangaza ccm tumeshinda chadema waende mahakamani mbona hiyo kauli hukusema ni ugaidi?!!!Hebu tuondolee uvivu wa kufikiri
 
Nikweli mkutano si mbaya bali jinsi unavyohamasisha watu yaani unawajengea chuki zaidi ya kuwapa picha iliyopo

kwani bi josephoni unaelewa nini juu ya neno mapinduzi? je unajua kuna chama kinaitwa "Chama cha Mapindizi"? kwa uelewa wako hicho chama ni cha kigaidi? kinapindua nini?
 
hiki ni kipindi ambacho chadema wawe macho na maamuzi yoyote.otherwise magamba wa take advantage!
 

Nadhani wewe uli quote vibaya ungesikiliza vyema mwanzo mwisho usikurupuke kukosoa tuuuuuuu


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…