Mie nashangaa kwa nini kama mtu huataki kitu flani ulazimishe na wenzio wasikipende wewe kama hupendi mageuzi au mapinduzi kwanini usijifungie chumbani kwako na mke wako kweli Magamba hata uyaelezee vipi hayatakuelewa pia nashangaa hawa kina mama ntilie na vijezee hivyo viuza ugoro ati wana raha sasa baada ya kamanda kuenguliwa nasema dhambi yenu itawarudia hapa hapa duniani na mtajuta kwa nini mlikubali kutumiwa na Magamba Lowasa.cha aibu mnaish uswazi mbu zenu,maji machafu yenu na haukuna hata gamba ambalo litakuwa watembeleeni hata siku moja hapo zawadi yenu ni vilemba na vijifulana vya kichina mtakoma na hata sifahamu mtaishije huko uswazi ngoja mkaa anga zangu muone