life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Dr Slaa bora ungekaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha na kauli zako.
Ueleweki mara useme ulishinda uchaguzi usalama wa taifa wakaiba kura.
Kwa kukusaidia tu JK toka aingie madarakani misikiti anayokwenda ni ya Bakwata ambayo haina waumini wengi.
Huwezi kumkuta JK kwenye misikiti mikubwa hapa Dar kama Kichangani, Mtambani, Idrisa, Mtoro.
Labda tuambie misikiti gani alikuwa anafanya udini, halafu una uhakika gani kuwa Waislam wote walimpigia JK.
Nchi ikianguka hii hakuna atakayepona hasa sisi maskini... Hawa kina Dr. Slaa na Mbowe wana fedha watahamia nchi nyingine
JK mwenyewe kila mara anashiriki kufungua Makanisa au kushiriki misa za Wakristo! PRESIDENT KIKWETE WITH ARUSHA CLERGY IN PRAYERS MAY 7, 2013 - YouTube sasa kama JK ni mdini sidhani kama angethubutu kufanya haya!Dr Slaa bora ungekaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha na kauli zako.Ueleweki mara useme ulishinda uchaguzi usalama wa taifa wakaiba kura.Kwa kukusaidia tu JK toka aingie madarakani misikiti anayokwenda ni ya Bakwata ambayo haina waumini wengi.Huwezi kumkuta JK kwenye misikiti mikubwa hapa Dar kama Kichangani, Mtambani, Idrisa, Mtoro.Labda tuambie misikiti gani alikuwa anafanya udini, halafu una uhakika gani kuwa Waislam wote walimpigia JK.
sijaona busara za slaa kama mtu anayetaka kuwa kiongozi wa juu kabisa kwenye taifa hii.Mmebugi; mnaambiwa ukweli na Dr. Slaa halafu mnaweke thread ya udini, sasa mdini nani?
mkuu sijapata point yako. uislam unapendelewa kivipi? halafu labda pia ungenielewesha kidogo, nini hasa lilikuwa kusudio la ambroce kwenda kuwaua waumini wasiokuwa na hatia kanisani? au ndo kutafuta jastification ya udini? chukulia kwa mfano asingeonekana na kushikwa ingetafurikiaje? we have to be serious mkuu.Waraka wa Pengo haukumtaja Slaa, ulisema 'Chagueni viongozi waadilifu' labda mlihisi unamkampenia Slaa 'kwasababu ya uadilifu wake'. Ni hisia njema tu!.
Lakini lingine, hivi matukio yanayoendelea nchini leo nani anayalea? Kama kikwete si mdini na anamkono wake kwenye matukio haya ya 'kuua na kukandamiza wa kristo' mbna hakuna anaekamatwa? Mapadri wanauawa, mäbomu yanalipuliwa, wachungaji wanachinjwa, mihadhara ya chuki dhidi ya 'wakristo' inaendelea kila kukicha lakin hakuna kinachofanyika.
Nadiriki kutamka, mfadhili wa haya yote ni Kikwete, kwani asingekuwa anafadhili au anahuzunishwa haya mambo tusingeyaona wakati wa utawala wake! Ni utawala upi tumeshuhudia uislamu ukipendelewa kama huu wa Kikwete? Je, huo si udini na upendeleo?...
Inategemea; ili uone busara ya mwenzio, na wewe unatikiwa uwe na busarasijaona busara za slaa kama mtu anayetaka kuwa kiongozi wa juu kabisa kwenye taifa hii.
mkuu sijapata point yako. uislam unapendelewa kivipi? halafu labda pia ungenielewesha kidogo, nini hasa lilikuwa kusudio la ambroce kwenda kuwaua waumini wasiokuwa na hatia kanisani? au ndo kutafuta jastification ya udini? chukulia kwa mfano asingeonekana na kushikwa ingetafurikiaje? we have to be serious mkuu.
Dr Slaa bora ungekaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha na kauli zako.
Ueleweki mara useme ulishinda uchaguzi usalama wa taifa wakaiba kura.
Kwa kukusaidia tu JK toka aingie madarakani misikiti anayokwenda ni ya Bakwata ambayo haina waumini wengi.
Huwezi kumkuta JK kwenye misikiti mikubwa hapa Dar kama Kichangani, Mtambani, Idrisa, Mtoro.
Labda tuambie misikiti gani alikuwa anafanya udini, halafu una uhakika gani kuwa Waislam wote walimpigia JK.
Dr Slaa bora ungekaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha na kauli zako.
Ueleweki mara useme ulishinda uchaguzi usalama wa taifa wakaiba kura.
Kwa kukusaidia tu JK toka aingie madarakani misikiti anayokwenda ni ya Bakwata ambayo haina waumini wengi.
Huwezi kumkuta JK kwenye misikiti mikubwa hapa Dar kama Kichangani, Mtambani, Idrisa, Mtoro.
Labda tuambie misikiti gani alikuwa anafanya udini, halafu una uhakika gani kuwa Waislam wote walimpigia JK.
Cocaine at work. Subiri CDM 2015 ichukue nchi mtaomba Uhamisho au kukimbia wenyewe.