Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 131
Hii hii Clouds ambayo huwa mnaiponda kuwa imejaa wafanyakazi mashoga? Leo imekuwa redio ya kusifiwa na kupewa pongezi! Kweli ya Mungu mengi.
Hii hii Clouds ambayo huwa mnaiponda kuwa imejaa wafanyakazi mashoga? Leo imekuwa redio ya kusifiwa na kupewa pongezi! Kweli ya Mungu mengi.
binafsi naipongeza sana clouds kwa katoa taarifa za mafuriko leo.wametusaidia sana kujua tupite wapi na wapi tusipite.mnastahili pongezi kwa kazi nzur.big up watangazaji wooote wa clauds.
Ushoga ni tabia na kuripoti ni wajibu.Wametimiza wajibuHii hii Clouds ambayo huwa mnaiponda kuwa imejaa wafanyakazi mashoga? Leo imekuwa redio ya kusifiwa na kupewa pongezi! Kweli ya Mungu mengi.
Hii hii Clouds ambayo huwa mnaiponda kuwa imejaa wafanyakazi mashoga? Leo imekuwa redio ya kusifiwa na kupewa pongezi! Kweli ya Mungu mengi.
Busara ya wakati ni bora kuliko busara ya mazoea (Hata kwetu wapo).acha hizo au huwa unawanani hiii, redio kibao zimeripoti acha upambe wa kimbwiga huo....!!