kassim kimoby
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 536
- 397
Yan mm ninacho ona viongoz we2 kma wanazngua m2 mshahara analipwa mzuri sawa unaiba bac kamirisha ulicho ambiwa ufanye mfano mradi ndo huibe lakin ww unaiba ata mradi haujakamilisha yani unafnya hii nchi km ww sio mzawa daaa Tusipo jihurumia wenyewe nani atakae tuhurumiaKiukweli serikali ya mama Ina boa Sana imejaa wahuni