Kwa Hili AliKiba umefanikiwa

Kwa Hili AliKiba umefanikiwa

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,197
Wazee hii ngoma mpya ya Alikiba X Ommy Dimpoz.. Wimbo unaitwa .. Kajiandae.. n ngoma kali sanaaa.. Nilikuwaga na wasiwasi na uwezo wa Kiba ila kwa hii.. Kiba n Hatari. Video pia Kali sanaaaa

Hii ndiyo ngoma yangu ya kufungia mwaka
 
Vipi na ile ya Rayvany SUGU umeisikia ?
 
Back
Top Bottom