Nawashukuru wakazi wa Dom kwa ukarimu wenu hadi mkanionyesha Rose Garden ya huko na viunga mbalimbali leo ndo naiacha Dom maana Wazee wa Bunge la Katiba wameanza kuingia fujo kila kona Ukimwita mwanamke anakuuliza :"Eti kwani we ndo nani"Nikaona kimeisha nuka mjini lazima ujitambulishe!!
Ulienda kwaajili ya hao wanawake?
As if u were in my mind, I just wanted to ask the same question to Kakakiiza
Diamond alishasema hata wazee wa zamani walishasema kazi na dawa!
Evelyn Salt bado mwelekeo ni ule ule...coordinates hazijabadilika