KUTOKA NDANI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA-(UDOM) Taarifa za ndani ya Chuo hicho zinasema kuwa Uongozi wa Serikali ya Wanafunzi Unakabidhiwa kwa Vijana wa Kazi-CHADEMA baada ya mipango ya kuwaengua wanachama wa CHADEMA Kugonga mwamba. Duru ya kwanza ya uchaguzi ilimalizika hapo jana tar 30/06/2012 baada ya vijana wa kazi kuchukua nafasi nyingi za ubunge mpaka ma-block leader. Muda mfupi ujao nafasi za U-rais, makamo wa rais na marais katika ngazi za vyuo yatatangazwa ambapo dalili zaonyesha wazi kuwa C.C.M waliopandikiza vijana wao sasa wanapumulia mashine. C.C.M kwa heri UDOM!