article
Senior Member
- Sep 10, 2016
- 192
- 349
BBM ni mtandao maarufu wa kijamii wa kwanza ulioanzinishwa mwaka 2005 kabla ya mitandao maarufu ya kwanza kama vile Watsapp ,facebook,instagram na mingineyo kuundwa.
Blackberry Messenger maarufu kama BBM si neno geni masikioni mwa wakongwe kwenye utumiaji wa mitandao ya kijamii hasa kwa wale ambao walishawai kumiliki simu aina ya Blackberry au ambao bado wanaendelea kutumia simu za Blackbery.
BBM ikiwa imetawala mtandao kwa miaka kadhaa inategemea kufunga huduma zake kwa watumiaji wa kawaida tarehe 31 Mei 2019.
Licha ya ukongwe mtandao huu unasikitisha kwa jinsi ulivyoshindwa kuimili ushindani wa kibiashara kutokana na mabadiriko ya technologia.
Kama bado unatumia mtandao huu unashauriwa kupakua taarifa zako muhimu kwenye mtandao huu na kuzihifadhi sehemu salama lakini kama ulikuwa unatumia mtandao huu kibiashara usihofu kwani BBM itaendelea kupatikana kwenye BBM enterprise kwa watumiaji wa IOS na Android.
Kwa heri BBM.
Article.