Kwa haya yanayotokea Dodoma Mh. Kikwete hukukiacha chama salama

lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,995
2,245
Bahati mbaya haiwezi badilika ikawa nzuri, matokeo ya bahati mbaya ndiyo kinachoendela sasa Dodoma. Je, Mh na wazee wetu wastaafu mtakwepe lawama ya kinachotokea sasa!! Mlituaminisha kuwa maamuzi yenu yalikuwa ya busara, sasa tuiteje?
 
Sisi CHAMA CHA MAHUTUTI tunataka tubaki na wale watakaotuunga mkono bila kujadiliana kwanza
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI
 
Mlikuwa mnakula kupitia lichama lenu mpaka mkawa mmedumaa akili yaani hamjui kuwa kuna maisha mengine nje ya chama chenu.
Nyinyi mmetumia fedha za umma kwenye maovu yenu, mmetumia wanyamapori wetu kujinufaisha, mmetumia madini yetu, mmepitisha mikataba feki mingi tu kwa ajili ya chama chenu.
Sasa leo katokea msamalia mwema anataka kuiteketeza ccm kwenye uso wa dunia nyinyi mnampinga.
Ni nani asiyefurahia ccm maslahi ife? Mungu ana makusudio yake, ajira ni ccm kwanza, sasa kwa wale ccm waliokuwa wanyonge lazima washangilie na kufurahia mkifutika, kuanzia watoto wenu mliojaza huko wote wafutike.
Mtu anayekula hela na kutumia mafuta ya chama kama mjumbe, mwenyekiti, mbunge, waziri na vinginevyo atampendaje anayetaka ambakishie cheo kimoja? Na tangu lini nyinyi ccm mkawa na huruma kwa nchi hii?
Mungu ajaalie mfukuzane wote na kwani hata mkienda vyama vingine vyeo hamtavipata hivyo njaa itawatafuna bado.
 
Baba yako kafukunzwa mtoa mada unawashwa sana ulitaka afukunzwe Jirani, Kumbe akiguswa mzazi wako inauma eeeh
 
Kuna maisha baada ya Ccm karibuni tusome namba wote
Pamoja na yooote ... naomba tusibabaishwe na maneno ya matukio ya Chama mkamsahau Daudi Bashite na safari yake South Afrika akiwa bado ni mkuu wa mkoa wa DSM aliepata kwenda likizo ya miezi mitatu ndani ya mwaka mmoja

Huku taasisi husika wala magogoni hawana taarifa rasmi kwa maana ya kua waoga kutoa taarifa kwa vyombo vya habari licha ya kuulizwa ju ya swala hilo mara kadhaa ... huku wakihofia hasira za Sizonje zisije kuwaishia wao ...

Japo tunajua kwa ghadhabu za Sizonje DAUDI ataondoka na watu sio peke yake

VYEEEETI vepe?
 
Hakukiacha kikiwa salama wakati alishindana akashinda, kawaachia madaraka mmelewa mnaanza kunyoosheana vidole??

Kwanza tuoneshe vyeti vyako hapa huenda na wewe ni kina Bashite..!!!
 
Musimusingizie Kikwete wa watu chama alikiacha kikiwa salama mumeamuwa kugawana Mbao wenyewe.
 
Bahati mbaya haiwezi badilika ikawa nzuri, matokeo ya bahati mbaya ndiyo kinachoendela sasa Dodoma. Je, Mh na wazee wetu wastaafu mtakwepe lawama ya kinachotokea sasa!! Mlituaminisha kuwa maamuzi yenu yalikuwa ya busara, sasa tuiteje?

Waache wapumuzike. Wameiacha nchi mifupa mitupu,. So far hakuna mwingine, Rais Magufuli kakiokoa chama Kikwete alikiacha kinadidimia, jamani acheni machozi ya mamba.
 
Back
Top Bottom