Kwa hatua niliofikia sasa mapenzi hayatonisumbua akili tena

Habari za muda huu wapenzi wasomaji wa thread hii? Natumaini muna heri ya maisha yenu...

Mapenzi hayatonisumbua tena!!! Nimeishi na mwanamke wangu pika pakua kwa miaka miwili bila ndoa, Na katika safari hio sijawahi kumcheat mke wangu hata kwa japo kwa kujaribu...Na kiukweli hajawahi kunifuma na uhasherati wowote na hata cm yangu ana kawaida ya kuikagua....Msishangae kwa kuwa inawezekana.

Nasema inawezekana kwa kuwa kucheat ni maamuzi ya mtu, Sisemi hivyo labda kwa kuwa sina vigezo vyakupata mwanamke mwingine Lahasha! Mimi ni bonge la handsome kiasi kwamba Mwanamke yeyote akiniona lazima atamani japo nimsalimu, Sijipakulii nyama ila naongea ukweli mtupu, Na kingine mimi ni mpambanaji sana kiasi kwamba, hatujawahi kulala njaa labda nakumbuka kuna siku moja tulichelewa kula.

Pamoja na yote hayo lakini nimekuwa nikimfuma mke wangu akijaribu kuchepuka ila tuliishia kwa kugombana kisha kupatana na maisha yanaendelea....Mara ya mwisho katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa kuna mtu hapa jirani yangu ni fundi Mechanical(najua mnafahamu hawa jamaa wengi wao wanakuwaga malayamalaya sana kwa kuwa kazi wanayoifanya inawalipa vizuri kiasi cha kuwafanya waponde starehe sana) jamaa amekuwa akimfatilia sana mke wangu akimtaka kimapenzi nazani hata vihela kashamuhonga sana si unajua hawa wanawake zetu kwenye hela akili zinarukaga buana...., Nilipogundua hivyo kiukweli japo nilikuwa nina experience ya kufumania ila hii iliniuma sana kwa kuwa jamaa ni jirani yangu then How come Ananifanyia uhuni ikiwa anafahamu fika kwamba me Nishajizatiti na huyu mdada.

Nakumbuka nilimbana mwanamke hadi akanipa mkanda wote, Nikahitaji kufanya maamuzi ya kumfuata mwamba nikamlipue ila nikaona haina haja kwa kuwa mwenye maamuzi ni anaetongozwa 'Achague moja Mimi au Fundi Magari' baadae akaja kunipa jibu kwamba kashamwambia mwamba kwamba aachane nae na yeye maana mimi nimeshamgundua nitakuja kumdhuru...Me nikakubali ila bado roho ilikuwa bado inaniuma kwa nn mwamba alinichukulia baridi sana?

Kuna wakati nilihitaji kupanga kikosi changu tumteke mwamba akachume mchicha ila nikashauriwa na wazee wenye busara kwamba huyo jamaa unaweza kukuta hana makosa labda mke wangu hajamwambia ukweli unaojitosheleza hivyo nijaribu kumfatilia mke wangu vizuri

Baada ya kupita muda mrefu kidogo nikajisahaulisha kuhusu mwamba kwa kuwa mwanamke alionesha zaidi kwamba ameshaacha mawasiliano na jamaa me nikapotezea ila jamaa nampigaga kijicho fulani ila pia yeye anaonekana kujishtukia sana( sijui bado anafukuzia au ndo kashamtanua huyu mwanamke me sijui)

Lengo la kusema kuwa mapenzi hayatonisumbua tena ni kwamba, Majuzi huyu mwanamke kaanza kunionesha madharau yaliyopitiliza, Ananijibujibu kipuuzi nikimuuliza maswali ananijibu anavyotaka (nahisi booking zimekuwa nyingi wanaume wengi walishamjaza kichwa na kufikia kuniona kama mimi sio kitu na wala sina amri yoyote kwake) sasa hasira zilinipanda nikataka nichukue kisu nimkate lips za mdomo ili nione atanijibuje ila kwa mara ya kwanza niliweza kujizuia hasira kwa kuwa kipindi cha nyuma ilikuwa akiniboa lazima nimtie adabu ila juzi nikajikuta roho imepoa kisha nikajikuta nampa ahadi kwamba "Nitamuacha" Akanijibu "acha maneno mengi fanya vitendo kwanza usinitishe upo?" Me nikamwambia "sawa mama'ke ifikapo mwisho wa mwezi huu hakika nitaondoka na kukuacha humu ndani" akanijibu tena "weweee usinitishe me mwenyewe bado mzuri" nikaamua kukaa kimya buana kidume kwa mara ya kwanza nikamuacha mwanamke atambe....usiku ule tulilala miguu juu kichwa chini.

Sasa leo Ni siku ya 5 tupo tunaishi kama masela yeye anafanya maamuzi yake anajiamulia kurudi muda anaotaka jana karudi saa 4 usiku, Leo karudi saa 3usiku na kazini wanatoka saa11 jioni mimi kimya, akipika nakula asipopika mimi kimya nalala zangu tena sahivi nimegundua huwa nakula zangu kwa mama ntilie yeye akirudi me namchora tuu... najua Anafanya haya yote kwa kuwa kashozoea kwamba tukigombana alafu akifanya hivi huwa bado nakuwa naonesha kutokupendezwa so huwa najikuta tena nikianza kumuomba na kumsihi asifanye hivyo kwa kuwa ananiumiza kwahio najua ananipima kama bado nina wivu nae kama zamani nianze kumuuliza umetoka wapi? Kumbe mwenzake kashanitoka kwenye moyo kabisa na nimeshaapa kwamba kweli ifikapo mwisho wa mwezi huu namuachia room bila hata kumuaga na nitaondoka na nguo zangu tuu, Vingine vyote nitamuachia

Simaanishi kwamba tunakatisha mahusiano hapana! Kwa kuwa najua hatokubali nafahamu kwamba ananipenda sana ila kwa kuwa ni utoto unamsumbua na tumeshazoeana sana hivyo naona kama tushachokana na dawa ya kuchokana sio kuacha mahusiano bali ni kupeana distance me naona mapenzi ya long distance ni mazuri sana kwa kuwa watu hampati muda wa kufuatiliana kwa mfano; mna mtoto au watoto mama anakuwa anaishi na watoto baba unakuwa unahusika kwenye kutuma matumizi na siku mojamoja kwenda kuwatembelea watoto for Outings na mengine mbalimbali.

Na hio ndio itakuwa future life yangu maana nimeshahisi kwamba wanawake wanaweza kumfanya mwanaume akaishia kuua ndoto zako kwa Overstress au kuishia jela na sasa hivi haki za wanawake zinavyozingatiwa ukiingia mahakamani hutoki...Na asikudanganye mtu bana upuuzi wa ndani ya ndoa hauvumiliki labda uwe malaya.
View attachment 1593429

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari yako, pole kwa maswahibu haya yanayokukumba, lakini pole zaidi kwa kushindwa kujitoa katika janga hili kubwa linalokusibu na ambalo huwenda likakuangamiza. Bila shaka unaishi maisha yenye maumivu makali kila siku, maisha ya kutezwa utu wako, unaishi na mtu ambaye furaha yake ni kuona utu wako ukidhalilishwa , lakini lazima pia ufahamu kuwa haya yote yametokea na yanatokea sababu ya UWEZO WAKO MDOGO WA KUFANYA MAAMUZI, ni wazi kuwa wewe ni muoga na kipindi kirefu cha maisha yako umekuwa mtu asiyejiamini, maamuzi yako kwa kiasi kikubwa yanakuwa influenced na maoni na mitazamo ya mtu/watu wengine, na katika mahusiano maamuzi ya mahusiano yako yanategemea mtazamo wa huyu mwanamke na si yako. Sijajua unamtegemea kwa kiasi gani huyu mwanamke kiuchumi, kiasi inabidi wewe ndio uondoke (ili aweze kupatumia vizuri hapo mnapoishi na mwanaume wa ndoto zake ?), lakini vyovyote iwavyo itakuwa yeye anakutegemea zaidi na ndio mana upo nae vinginevyo angekutimua au angeondoka siku nyingi. Japo mapenzi hayashauriwi, lakini fahamu kuwa na mwenza asiye muaminifu athari zake ni zaidi ya mapenzi, unakuwa kama mtu anayekutua sumu, wakati kosa dogo tuu linaweza kukuletea matatizo makubwa kabisa. Athari ya kwanza kabisa ni athari za kisaikolojia anazokuacha nazo, unaishi na maumivu mazito, kama mtu mwenye kaa la moto kifuani, linakuchoma lakini huwezi kupasua kifua ulitoe, ndio maana fundi seremala unamungalia kwa uchungu naye anakuangalia kwa kukusanifu na kukukebehi,umaumia kila ukimuona na yeye furaha yake ni kuumia kwako. Pili, anaweza kukuletea magonjwa ya zinaa ambayo yatakuathiri maisha yako yote au hata kukusababishia mauti! Hili nadhani huitaji kuelezwa sana. Tatu anakudharaulisha na kukudhalilisha saaaana hapo unapoishi, kila mtu anajua kua akitaka chee basi wakumtafuta ni mwanamke wako, huwenda amewaambia jinsi jogoo asivyopanda mtungi, au jinsi usivyomridhishwa na kibamia chako na mambo mengine kama haya na ndio mana amekuwa "mlezi wa wana", kibaya zaidi mwanamke wako anajua huwezi fanya lolote si tu kwake, hata kwa wanaume wake, mfano ni jinsi unavyomuogopa fundi seremala na kusingizia kuwa anakipato kikubwa ndio mana mkeo kapata tamaa!
La mwisho, wewe ni mtoto sana kwa huyo mwanamke, unampa muda kabla ya wewe kuondoka hapo mnapoishi ukitumai labda atakuomba msamaha au ataonyesha kujisikia vibaya kwa anayokufanyia, hilo halitokaa litokee! Sababu kwake wewe ni boya na fala kama mafala wengine na ndio maana anarudi muda anaotaka na anafanya anavyojisikia. Kikubwa ACHA UTOTO JIFUNZE KUFANYA MAAMUZI SAHIHI KWA WAKATI.
 
Habari za muda huu wapenzi wasomaji wa thread hii? Natumaini muna heri ya maisha yenu...

Mapenzi hayatonisumbua tena!!! Nimeishi na mwanamke wangu pika pakua kwa miaka miwili bila ndoa, Na katika safari hio sijawahi kumcheat mke wangu hata kwa japo kwa kujaribu...Na kiukweli hajawahi kunifuma na uhasherati wowote na hata cm yangu ana kawaida ya kuikagua....Msishangae kwa kuwa inawezekana.

Nasema inawezekana kwa kuwa kucheat ni maamuzi ya mtu, Sisemi hivyo labda kwa kuwa sina vigezo vyakupata mwanamke mwingine Lahasha! Mimi ni bonge la handsome kiasi kwamba Mwanamke yeyote akiniona lazima atamani japo nimsalimu, Sijipakulii nyama ila naongea ukweli mtupu, Na kingine mimi ni mpambanaji sana kiasi kwamba, hatujawahi kulala njaa labda nakumbuka kuna siku moja tulichelewa kula.

Pamoja na yote hayo lakini nimekuwa nikimfuma mke wangu akijaribu kuchepuka ila tuliishia kwa kugombana kisha kupatana na maisha yanaendelea....Mara ya mwisho katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa kuna mtu hapa jirani yangu ni fundi Mechanical(najua mnafahamu hawa jamaa wengi wao wanakuwaga malayamalaya sana kwa kuwa kazi wanayoifanya inawalipa vizuri kiasi cha kuwafanya waponde starehe sana) jamaa amekuwa akimfatilia sana mke wangu akimtaka kimapenzi nazani hata vihela kashamuhonga sana si unajua hawa wanawake zetu kwenye hela akili zinarukaga buana...., Nilipogundua hivyo kiukweli japo nilikuwa nina experience ya kufumania ila hii iliniuma sana kwa kuwa jamaa ni jirani yangu then How come Ananifanyia uhuni ikiwa anafahamu fika kwamba me Nishajizatiti na huyu mdada.

Nakumbuka nilimbana mwanamke hadi akanipa mkanda wote, Nikahitaji kufanya maamuzi ya kumfuata mwamba nikamlipue ila nikaona haina haja kwa kuwa mwenye maamuzi ni anaetongozwa 'Achague moja Mimi au Fundi Magari' baadae akaja kunipa jibu kwamba kashamwambia mwamba kwamba aachane nae na yeye maana mimi nimeshamgundua nitakuja kumdhuru...Me nikakubali ila bado roho ilikuwa bado inaniuma kwa nn mwamba alinichukulia baridi sana?

Kuna wakati nilihitaji kupanga kikosi changu tumteke mwamba akachume mchicha ila nikashauriwa na wazee wenye busara kwamba huyo jamaa unaweza kukuta hana makosa labda mke wangu hajamwambia ukweli unaojitosheleza hivyo nijaribu kumfatilia mke wangu vizuri

Baada ya kupita muda mrefu kidogo nikajisahaulisha kuhusu mwamba kwa kuwa mwanamke alionesha zaidi kwamba ameshaacha mawasiliano na jamaa me nikapotezea ila jamaa nampigaga kijicho fulani ila pia yeye anaonekana kujishtukia sana( sijui bado anafukuzia au ndo kashamtanua huyu mwanamke me sijui)

Lengo la kusema kuwa mapenzi hayatonisumbua tena ni kwamba, Majuzi huyu mwanamke kaanza kunionesha madharau yaliyopitiliza, Ananijibujibu kipuuzi nikimuuliza maswali ananijibu anavyotaka (nahisi booking zimekuwa nyingi wanaume wengi walishamjaza kichwa na kufikia kuniona kama mimi sio kitu na wala sina amri yoyote kwake) sasa hasira zilinipanda nikataka nichukue kisu nimkate lips za mdomo ili nione atanijibuje ila kwa mara ya kwanza niliweza kujizuia hasira kwa kuwa kipindi cha nyuma ilikuwa akiniboa lazima nimtie adabu ila juzi nikajikuta roho imepoa kisha nikajikuta nampa ahadi kwamba "Nitamuacha" Akanijibu "acha maneno mengi fanya vitendo kwanza usinitishe upo?" Me nikamwambia "sawa mama'ke ifikapo mwisho wa mwezi huu hakika nitaondoka na kukuacha humu ndani" akanijibu tena "weweee usinitishe me mwenyewe bado mzuri" nikaamua kukaa kimya buana kidume kwa mara ya kwanza nikamuacha mwanamke atambe....usiku ule tulilala miguu juu kichwa chini.

Sasa leo Ni siku ya 5 tupo tunaishi kama masela yeye anafanya maamuzi yake anajiamulia kurudi muda anaotaka jana karudi saa 4 usiku, Leo karudi saa 3usiku na kazini wanatoka saa11 jioni mimi kimya, akipika nakula asipopika mimi kimya nalala zangu tena sahivi nimegundua huwa nakula zangu kwa mama ntilie yeye akirudi me namchora tuu... najua Anafanya haya yote kwa kuwa kashozoea kwamba tukigombana alafu akifanya hivi huwa bado nakuwa naonesha kutokupendezwa so huwa najikuta tena nikianza kumuomba na kumsihi asifanye hivyo kwa kuwa ananiumiza kwahio najua ananipima kama bado nina wivu nae kama zamani nianze kumuuliza umetoka wapi? Kumbe mwenzake kashanitoka kwenye moyo kabisa na nimeshaapa kwamba kweli ifikapo mwisho wa mwezi huu namuachia room bila hata kumuaga na nitaondoka na nguo zangu tuu, Vingine vyote nitamuachia

Simaanishi kwamba tunakatisha mahusiano hapana! Kwa kuwa najua hatokubali nafahamu kwamba ananipenda sana ila kwa kuwa ni utoto unamsumbua na tumeshazoeana sana hivyo naona kama tushachokana na dawa ya kuchokana sio kuacha mahusiano bali ni kupeana distance me naona mapenzi ya long distance ni mazuri sana kwa kuwa watu hampati muda wa kufuatiliana kwa mfano; mna mtoto au watoto mama anakuwa anaishi na watoto baba unakuwa unahusika kwenye kutuma matumizi na siku mojamoja kwenda kuwatembelea watoto for Outings na mengine mbalimbali.

Na hio ndio itakuwa future life yangu maana nimeshahisi kwamba wanawake wanaweza kumfanya mwanaume akaishia kuua ndoto zako kwa Overstress au kuishia jela na sasa hivi haki za wanawake zinavyozingatiwa ukiingia mahakamani hutoki...Na asikudanganye mtu bana upuuzi wa ndani ya ndoa hauvumiliki labda uwe malaya.
View attachment 1593429

Sent using Jamii Forums mobile app
Handsome boy
 
UMELIWEKA KAHABA NDANI YA NYUMBA

Subiri likuue kwa ukimwi...

Usilalamikie mtu kabisaaa

Halafu eti mi sijawahi kucheat unadhani hiyo ni sifa sasa ungewajua wanawake vzr ni bora akuone kama kicheche asiwe na ushahidi kuliko akuone hujawahi kucheat na huwezi kucheat....

Fara kbs unajisifia uzuri...
 
Anakuchukulia kama mdogo wake. Usijaribu kuoa mwanamke anayekuzidi umri hata siku moja. Hapo ulitakiwa kuwa na mwanamke mwenye umri kuanzia 18-23 ndiyo mtawezana
Unaanzaje kumuachia chumba mwanamke ambaye hamjazaa naye? sijaona kama mna watoto. Kwa taarifa yako tu, ukiondoka huyo jamaa fundi anakuja kulala hapo kwako na atamgonga mpenzi wako kwenye kitanda ulichonunua mwenyewe
So unamaanisha kwamba umri ndo unaofanya anidharau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom