Kwa hatua hizi, huenda UKAWA walishinda uchaguzi mkuu

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
10,398
16,047
Kitendo cha serikali kuzuia bunge lisionyeshwe live, na bunge kuzuia tv binafsi kurusha live na wabunge wote wa CCM kuunga mkono, kinashiria kuwa kuna mpango uliosukwa mahusisi kwa lengo maalum.

Kwa yalitotokea bunge la kumi ambapo wabunge wa upinzani walionyesha umakini mkubwa katika kujenga hoja huku wale wa CCM wakikubali kila kitu hata cha kipuuzi, nahisi kuwa matokeo haalisi ya uchaguzi mkuu, yaliyosababisha polisi kuvamia vituo vya kuhakiki na watu kuwekwa ndani ndio chanzo cha bunge kufungiwa kabatini.
Huu ni mkakati maalum uliosukwa na CCM ili kudhibiti upinzani. Nahasi wamekosea, wapinzani wamepewa kick ya kuanzia, nendeni mitaani.
 
kitendo cha serikali kuzuia bunge lisionyeshwe live, na binge kuzuia tv binafsi kurusha live na wabunge wote wa ccm kuunga mkono, kinashiria kuwa Kuna mpango uliosukwa mahusisi kwa lengo maalum.

kwa yalitotokea bunge la kumi ambapo wabunge wa upinzani walionyesha umakini mkibwa katika kujenga hoja huku wale wa ccm wakikubali kila kitu hata cha kipuuzi, nahisi kuwa matokeo haalisi ya uchaguzi mkuu, yaliyosababisha polisi kuvamia vituo vya kuhakiki na watu kuwekwa ndani ndio chanzo cha bunge kufungiwa kabatini.
Huu Ni mkakati maalum uliosukwa na ccm ili kudhibiti upinzani. Nahasi wamekosea, wapinzani wamepewa kick ya kuanzia, nendeni mitaani
Kwani CCM walishinda uchaguzi gani October 25,2015?
 
Back
Top Bottom