Hajui anachoongea, mwajiri mkuu ni sekta binafsi.Unaposema serikali ni mwajiri mkuu unamaanisha nini? Idadi ya wafanyakazi?
Nisaidie nimesoma Memkwa.
Hajui anachoongea, mwajiri mkuu ni sekta binafsi.Unaposema serikali ni mwajiri mkuu unamaanisha nini? Idadi ya wafanyakazi?
Nisaidie nimesoma Memkwa.
Sekta binafsi nini? Is it an entity? Can it stand as an entity? Huwezi kuweka kwenye certainty kitu ambacho hakiwezi kusimama chenyewe.Hajui anachoongea, mwajiri mkuu ni sekta binafsi.
Wafuatilie wajapani,wametumia gharama kiduchu kujilindaPlease suggest which other ways that you have in mind that can likely stop the spread of this disease.
Your suggestion should take into consideration the extreme explosive rate of transmission characteristic with this disease.
Hata hivyo nadhani sisi bado tunaamini corona ni maigizo tu au huyo Mungu tunayemtegemee ni wa Tanzania pekee au si watanzania ndio pekee tunajua kumuomba Mungu na kumwabudu kwa roho na kweli,Kenya mwisho wa kutembea ni saa moja usiku,Rwanda hivyo hivyo,sisi bongo tunasema bank zifunguliwe hadi saa mbili usiku serikali ipate pesa, je hizo pesa serikali inazitaka kwa ajiri ya nani?BOT wameagiza leo Bank zibaki kuwa wazi hadi Saa 2 usiku ili Serikali ikusanye Kodi..
Kwa hatua hii naamini Hatimaye Magufuli Ameelewa kuwa Corona si kitu rahisi kama Polepole kuzurura na Mkoba wa hela za walipa kodi mjini kwenda kulipa faini ya Mashinji
Kinachofuata katika siku 2-3 hizi ni katazo la kutokutoka ndani, yaani Curfew...au kufunga mipaka - Lockdown
Kama Kawaida Wale bendera fuata upepo watampongeza kufunga mipaka/kuweka zuio la watu kutokutoka nyumbani...walimpomgeza alipogoma kufunga, watampongeza atakapofunga...
View attachment 1405121
Je, corona iliyopo Kenya, Rwanda, Uganda na Tanzania, imepatikana kwa watu kujishughulisha na kazi zao za kila siku mitaani?Hata hivyo nadhani sisi bado tunaamini corona ni maigizo tu au huyo Mungu tunayemtegemee ni wa Tanzania pekee au si watanzania ndio pekee tunajua kumuomba Mungu na kumwabudu kwa roho na kweli,Kenya mwisho wa kutembea ni saa moja usiku,Rwanda hivyo hivyo,sisi bongo tunasema bank zifunguliwe hadi saa mbili usiku serikali ipate pesa, je hizo pesa serikali inazitaka kwa ajiri ya nani?
Wafuatilie wajapani,wametumia gharama kiduchu kujilinda
Ndiyo.wewe unadhani huyo aliyeileta kutoka ilikoanzia au huyo aliyeileta aliambukizwa akiwa ameenda kushangaa magorofa tu?Je, corona iliyopo Kenya, Rwanda, Uganda na Tanzania, imepatikana kwa watu kujishughulisha na kazi zao za kila siku mitaani?
MATAGA wanapongeza hata kijambo!BOT wameagiza leo Bank zibaki kuwa wazi hadi Saa 2 usiku ili Serikali ikusanye Kodi..
Kwa hatua hii naamini Hatimaye Magufuli Ameelewa kuwa Corona si kitu rahisi kama Polepole kuzurura na Mkoba wa hela za walipa kodi mjini kwenda kulipa faini ya Mashinji
Kinachofuata katika siku 2-3 hizi ni katazo la kutokutoka ndani, yaani Curfew...au kufunga mipaka - Lockdown
Kama Kawaida Wale bendera fuata upepo watampongeza kufunga mipaka/kuweka zuio la watu kutokutoka nyumbani...walimpomgeza alipogoma kufunga, watampongeza atakapofunga...
View attachment 1405121
Post ipi tenaWapi? Leta hiyo post.
kasi ya maambukizi ya bongo is still low and manageable, kwanza ilizidi lini? mgonjwa mmoja kwa wiki nzima tena katoka na virus kuzurura huko na huko na wengine waliowekwa karantini wanapona ndo tufunge ili nchi uchumi ushuke hadi zero? Brazil wamegoma lockdown pamoja na kushinikizwa na mabeberu kila dakika, angalieni Al Jazeera nyie!! hivi ninyi ni kina nani mnaoshabikia lockdown?mna faida gani na lockdown ya bongo? mnapenda chaos why? nyie si bure ni psychopaths! kama mnaogopa Corona si mhame nchi mnataka sie masikini tuhamie kwenu kuja kula? maambukizi ya Corona yako US wagonjwa wanaenda laki tatu sasa!! Italy muuguzi kajiua baada ya kuambukizwa, belgium bibi kafa kwa kugomea kisaidia kupumua, bongo ni salama wehu nyie msituchawie na kutuletea nuksi! Tumia akili utajua why Corona hits countries more and less bila formula!! Sie tumemuibia nani au kuuza mabomu kwa nani?Yaonyesha alikuwa kapanga kuwakamua vilivyo walipa kodi kwanza. Mengine yote (uchaguzi mkuu nk) yalikuwa geresha tu.
Hata hivyo tutampongeza mno kwa kwenda total lockdown bila ya kuchelewa zaidi.
Rwanda wanabakiza siku 2 za lockdown the process is worth and doable. Tayari kasi ya maambukizi imeshaanza kupungua.
Kasi ya maambukizi Afrika kusini imeshaanza kupungua pia kufuatilia total lockdown.
Vijana wa ufipa hawana nguvu kwani?...vijana wa ccm ndio wanaofanya KUFURU wakati huu.
..wazee wa ccm msipowafunda siasa safi, na za hoja, vijana wenu hii nchi itasambaratika.
..mnawakuza vijana ktk mazingira ya kuamini ktk nguvu na ubabe na siku wakibaki peke yao wataumizana vibaya.
Post niliyosema mimi ni bisexual kama unavyoclaim ilete hapaPost ipi tena
kasi ya maambukizi ya bongo ilizidi lini? mtu mmoja kwa wiki nzima tena katoka na virus kuzurura huko na huko na wengine waliowekwa karantini wanapona ndo tufunge nchi uchumi ushuke? Brazil wamegoma lockdown pamoja na kushinikizwa na mabeberu kila dakika, hivi ninyi ni kina nani mnaoshabikia lockdown?mna faida gani na lockdown ya bongo? mnapenda chaos why? nyie si bure ni psychopaths! kama mnaogopa Corona si mhame nchi mnataka sie masikini tuhamie kwenu kuja kula? maambukizi ya Corona yako US msituchawie na kutuletea nuksi!
dawa ni kufungia kila anaekuja si kufunga nchi wabongo tuache akili za kuiga na kushikiwa kwa kila kitu always solution of a problem rests on a context!! ulaya italy wanapelekewa msosi home nyie mnaweza?
“Ati” ni neno latumika Mombasa na Zenj, tushajua wewe unakotoka! nyie pro lockdown ni wehu wa kupuuzwa tu! Big Up sana JPM akili ndogo haina nafasi bongo , data zasema ndani hakuna infections sasa uwafungie watu kwanini coz wazungu wanaopelekeana misosi home wamefungiwa? hiyo ni akili au matope? dawa kila anaekuja toka nje ya nchi kuzurura apelekwe karantini direct ONE MONTH si wiki mbili tena bila kujali ana virusi au hana coz virus wakipenya ni national disaster yule mama mashine hazikusoma Kia!!Hayo ya kuchagiza watu kuhama nchi ni hoja za kipuuzi kwa nini msihame nyie?
Kwa uelewa wako maambukizi yanaongezeka 1 kwa wiki? Tanzania tu? Na wewe umekubali?
Akili zako changanya na za kuambiwa, kwa maana umeshindwa kuchanganya za kuambiwa na zako.
Fungueni kabisa na mashule maana mmenawa hadi corona imekwisha. Ati tunataka chaos ili iweje.
Yakumbuke maneno yako na yetu come May 1.
“Ati” ni neno latumika Mombasa na Zenj, tushajua wewe unakotoka! nyie pro lockdown ni wehu wa kupuuzwa tu! Big Up sana JPM akili ndogo haina nafasi bongo , data zasema ndani hakuna infections sasa uwafungie watu kwanini coz wazungu wanaopelekeana misosi home wamefungiwa? hiyo ni akili au matope? dawa kila anaekuja toka nje ya nchi kuzurura apelekwe karantini direct ONE MONTH si wiki mbili tena bila kujali ana virusi au hana coz virus wakipenya ni national disaster yule mama mashine hazikusoma Kia!!
Yes mi nasapoti shule zifunguliwe kwa kufuata Corona virus preventive measures ule muda ukifika sababu there is no point maisha kuendelea bongo baba na mama wanaenda mitaani kanisani msikitini sokoni wanapanda daladala kama kuna virus wakirudi navyo home watoto si wamefunga shule wapo home si watawaambukiza?
Angalia hizi takwimu uone jinsi ndani ya mwezi mmoja hali inavyoweza kuwa mbaya.
Yaani ndani ya mwezi au wiki chache hali inaweza kutoka kwenye makumi hadi makumi elfu
🇮🇹 Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases
🇺🇸 United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases
🇫🇷 France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases
🇩🇪 Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases
🇪🇸 Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases
🇮🇷 Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases
South Africa 🇿🇦
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases
.
Angalia hizi takwimu uone jinsi ndani ya mwezi mmoja hali inavyoweza kuwa mbaya.
Yaani ndani ya mwezi au wiki chache hali inaweza kutoka kwenye makumi hadi makumi elfu
🇮🇹 Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases
🇺🇸 United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases
🇫🇷 France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases
🇩🇪 Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases
🇪🇸 Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases
🇮🇷 Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases
South Africa 🇿🇦
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases
.
Angalia hizi takwimu uone jinsi ndani ya mwezi mmoja hali inavyoweza kuwa mbaya.
Yaani ndani ya mwezi au wiki chache hali inaweza kutoka kwenye makumi hadi makumi elfu
🇮🇹 Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases
🇺🇸 United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases
🇫🇷 France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases
🇩🇪 Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases
🇪🇸 Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases
🇮🇷 Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases
South Africa 🇿🇦
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases
.