Kwa hatua hii ya BOT, naamini Sasa Magufuli naye Ameelewa COVID-19 is serious, tujiandae kwa Curfew/lockdown

Kazi kweli kweli. Mkuu 'ati' ni kiswahili.

Zipo mada nyingi binafsi nimeandika kuhusu lockdown. Mimi ni pro lockdown kwani ningependa hili dhahama liishe once for all.

Hakuna haja ya jazba. Tatizo la ugonjwa huu liko kwenye transmission rate which is very explosive. Angalia hapa ulaya na marekani status one month span:





Fuatilia status yetu mwisho wa mwezi. Fananisha hali yetu leo na wao ilikuwa ka ma sisi sasa hivi zimebakia historia.

Inaeleweka si rahisi kwa kila mtu kuuona ukweli huo kwa macho yasiyoona mbali vilivyo.

Humbly consider. See through.

Tuko hatarini mno kuliko mtu anavyokueleza. Tulikuwa na nafasi ya kujinasua. Tumepoteza kabla ya ugonjwa kuingia.

Maambukizi yakishafika kwenye mamia itakuwa basi tena.
your main thinking discrepancy ni kulinganisha contexts za marekani ulaya na bongo nazo ni maji na mafuta! maambukizi bongo kamwe hayafiki hata mia with our dua and strict quarantine for all incoming people bila kuangalia rangi na cheo chake!! nashauri ili tuwe bila lockdown we have three Coronavirus screening offices at the point of entry plus ONE MONTH forced and militarily monitered quarantine kwa wageni wote! then ndani business as usual!! we are poor population most of us living under one usdollar a day we cannot afford to die with hunger , stress , depression , heart attack , suicides and unemployment, leo huko US watu unemployed wamefika 6.6 million na wote wanadai walishwe na serikali na wasipolishwa fujo haziko mbali!

India wanapigwa viboko kama vyote barabarani, push up kichurachura simama kaa kwa watu wazima wanaokufa na njaa na kutoka nje, Africa mashariki Kenya, Uganda na Rwanda raia wanachukia mno serikali zao za kiimla na zilizojaa rushwa nao jamaa wababe wa vita wamepata loop hole kulipiza kwa kuwakomesha raia wakorofi kwa lockdown, basi raia wabishi wakitoka nje njaa inauma kuliko Corona wanapigwa balaa!!

Russia wanakoma na lockdown adhabu ziko hadi 15 years jela kwa kuvunja karantini yako!! Philippines njaa imewatoa watu nje wakapambana na wanajeshi leo Rais akaamuru ‘shoot them dead” wakitoka tena! tushajua nyie pro lockdown mnataka vurugu for your benefits!
 

Attachments

  • 694EA97D-B5F4-4380-AF51-B1047D951FDD.jpeg
    694EA97D-B5F4-4380-AF51-B1047D951FDD.jpeg
    170.7 KB · Views: 1
your main thinking discrepancy ni kulinganisha contexts za marekani ulaya na bongo nazo ni maji na mafuta! maambukizi bongo kamwe hayafiki hata mia with our dua and strict quarantine for all incoming people bila kuangalia rangi na cheo chake!! nashauri ili tuwe bila lockdown we have three Coronavirus screening offices at the point of entry plus ONE MONTH forced and monitered quarantine kwa wageni wote! then ndani business as usual!! we cannot afford to die with hunger and unemployment , leo US unemployed ni 6.6 million na fujo haziko mbali! Philipines njaa imewatoa watu nje Rais akaamuru ‘shoot them dead” wakitoka tena! tushajua mnataka vurugu for your benefits!

Pole sana. Si nia yangu kubishana nawe. Ila fahamu hatutaki fujo. We need Corona virus out.

Mark my words May 1 is no that far.

Aika mbee!
 
Kwa nini mnaombea mabaya nchi!? mna nini nyie kinachowasukuma.
Siku mbili tatu, mleta mada, ulizoahidi zimeisha pita... hauoni aibu!?
 
Yaonyesha alikuwa kapanga kuwakamua vilivyo walipa kodi kwanza. Mengine yote (uchaguzi mkuu nk) yalikuwa geresha tu.

Hata hivyo tutampongeza mno kwa kwenda total lockdown bila ya kuchelewa zaidi.

Rwanda wanabakiza siku 2 za lockdown the process is worth and doable. Tayari kasi ya maambukizi imeshaanza kupungua.

Kasi ya maambukizi Afrika kusini imeshaanza kupungua pia kufuatilia total lockdown.
Ngoja tuone kifatacho
 
BOT wameagiza leo Bank zibaki kuwa wazi hadi Saa 2 usiku ili Serikali ikusanye Kodi..

Kwa hatua hii naamini Hatimaye Magufuli Ameelewa kuwa Corona si kitu rahisi kama Polepole kuzurura na Mkoba wa hela za walipa kodi mjini kwenda kulipa faini ya Mashinji

Kinachofuata katika siku 2-3 hizi ni katazo la kutokutoka ndani, yaani Curfew...au kufunga mipaka - Lockdown

Kama Kawaida Wale bendera fuata upepo watampongeza kufunga mipaka/kuweka zuio la watu kutokutoka nyumbani...walimpomgeza alipogoma kufunga, watampongeza atakapofunga...

View attachment 1405121
Hamia Marekani!!
 
BOT wameagiza leo Bank zibaki kuwa wazi hadi Saa 2 usiku ili Serikali ikusanye Kodi..

Kwa hatua hii naamini Hatimaye Magufuli Ameelewa kuwa Corona si kitu rahisi kama Polepole kuzurura na Mkoba wa hela za walipa kodi mjini kwenda kulipa faini ya Mashinji

Kinachofuata katika siku 2-3 hizi ni katazo la kutokutoka ndani, yaani Curfew...au kufunga mipaka - Lockdown

Kama Kawaida Wale bendera fuata upepo watampongeza kufunga mipaka/kuweka zuio la watu kutokutoka nyumbani...walimpomgeza alipogoma kufunga, watampongeza atakapofunga...

View attachment 1405121
Yaani mtu ukiwa chadema unakua kama zezeta fulani. Sasa hapo kufungwa benki saa 2 usiku kama muda wa mwisho kikodi haelewi halafu uhusiano na corona sijui vinahusikaje😂😂. Yaani disque joker wao akianzisha kitu wanaimba hichohicho kama kasuku.
 
Back
Top Bottom