Kwa hatua hii ya BOT, naamini Sasa Magufuli naye Ameelewa COVID-19 is serious, tujiandae kwa Curfew/lockdown

Hajui anachoongea, mwajiri mkuu ni sekta binafsi.
Sekta binafsi nini? Is it an entity? Can it stand as an entity? Huwezi kuweka kwenye certainty kitu ambacho hakiwezi kusimama chenyewe.
Usiandike bila kutafakari.
Hata tukigroup hizo entity ndogo ndogo zinazounda sekta binafsi bado haviwezi kuondoa serikali kama mwajiri mkuu katika nchi yoyote.
 
Please suggest which other ways that you have in mind that can likely stop the spread of this disease.

Your suggestion should take into consideration the extreme explosive rate of transmission characteristic with this disease.
Wafuatilie wajapani,wametumia gharama kiduchu kujilinda
 
BOT wameagiza leo Bank zibaki kuwa wazi hadi Saa 2 usiku ili Serikali ikusanye Kodi..

Kwa hatua hii naamini Hatimaye Magufuli Ameelewa kuwa Corona si kitu rahisi kama Polepole kuzurura na Mkoba wa hela za walipa kodi mjini kwenda kulipa faini ya Mashinji

Kinachofuata katika siku 2-3 hizi ni katazo la kutokutoka ndani, yaani Curfew...au kufunga mipaka - Lockdown

Kama Kawaida Wale bendera fuata upepo watampongeza kufunga mipaka/kuweka zuio la watu kutokutoka nyumbani...walimpomgeza alipogoma kufunga, watampongeza atakapofunga...

View attachment 1405121
Hata hivyo nadhani sisi bado tunaamini corona ni maigizo tu au huyo Mungu tunayemtegemee ni wa Tanzania pekee au si watanzania ndio pekee tunajua kumuomba Mungu na kumwabudu kwa roho na kweli,Kenya mwisho wa kutembea ni saa moja usiku,Rwanda hivyo hivyo,sisi bongo tunasema bank zifunguliwe hadi saa mbili usiku serikali ipate pesa, je hizo pesa serikali inazitaka kwa ajiri ya nani?
 
Je, corona iliyopo Kenya, Rwanda, Uganda na Tanzania, imepatikana kwa watu kujishughulisha na kazi zao za kila siku mitaani?
 
If we opt the lockdown in Kenya, Rwanda and Uganda, we will just end causing more pains to the poor. And the poor are not travelling to anywhere rather than running their activities in their locals. If lockdown is necessary, then we must choose some activities to lockdown. And these must be those which are likely to cause more spread.
 
Wafuatilie wajapani,wametumia gharama kiduchu kujilinda

Ya mjapan imesikika lakini hamna hata mmoja ameifikiria kwingine. Kwa Afrika hii haiwezekani.

Umeona nyomi ya mwendo kasi baada ya mambo ya level seat? Umeona wangapi hata wana masks kwenye ile nyomi?

Japan haina hayo.

Kingine infection rate Japan bado inaongezeka.

Angalia hapa pia:

Italy records lowest coronavirus death toll for a week

Muhimu pia kuona kwa jinsi maambukizi yanapokuwa makubwa ndipo model ya Japan inavyo fail. Si ajabu kuwa Japan itajaishia kwenye total lockdown.

Ufahamu Japan iko very much under pressure. Kuna $15B iliyokuwa ime invest kwenye Olympic games. Hiyo pesa imenasa huko. Japan anajaribu ku salvage uchumi lakini yatamkuta kama USA.

Ukaidi wa Trump umemfikisha huku aliko na sasa urais kauweka rehani.
 
Je, corona iliyopo Kenya, Rwanda, Uganda na Tanzania, imepatikana kwa watu kujishughulisha na kazi zao za kila siku mitaani?
Ndiyo.wewe unadhani huyo aliyeileta kutoka ilikoanzia au huyo aliyeileta aliambukizwa akiwa ameenda kushangaa magorofa tu?
 
BOT wameagiza leo Bank zibaki kuwa wazi hadi Saa 2 usiku ili Serikali ikusanye Kodi..

Kwa hatua hii naamini Hatimaye Magufuli Ameelewa kuwa Corona si kitu rahisi kama Polepole kuzurura na Mkoba wa hela za walipa kodi mjini kwenda kulipa faini ya Mashinji

Kinachofuata katika siku 2-3 hizi ni katazo la kutokutoka ndani, yaani Curfew...au kufunga mipaka - Lockdown

Kama Kawaida Wale bendera fuata upepo watampongeza kufunga mipaka/kuweka zuio la watu kutokutoka nyumbani...walimpomgeza alipogoma kufunga, watampongeza atakapofunga...

View attachment 1405121
MATAGA wanapongeza hata kijambo!
Rwakatare alipongeza ZITTO kabwe auwawe na mpaka leo anaendesha ibada huko mikocheni na watu wanamsikiliza ilhali damu ya ZITTO ipo mikononi mwake na MATAGA wenzanke
 
Yaonyesha alikuwa kapanga kuwakamua vilivyo walipa kodi kwanza. Mengine yote (uchaguzi mkuu nk) yalikuwa geresha tu.

Hata hivyo tutampongeza mno kwa kwenda total lockdown bila ya kuchelewa zaidi.

Rwanda wanabakiza siku 2 za lockdown the process is worth and doable. Tayari kasi ya maambukizi imeshaanza kupungua.

Kasi ya maambukizi Afrika kusini imeshaanza kupungua pia kufuatilia total lockdown.
kasi ya maambukizi ya bongo is still low and manageable, kwanza ilizidi lini? mgonjwa mmoja kwa wiki nzima tena katoka na virus kuzurura huko na huko na wengine waliowekwa karantini wanapona ndo tufunge ili nchi uchumi ushuke hadi zero? Brazil wamegoma lockdown pamoja na kushinikizwa na mabeberu kila dakika, angalieni Al Jazeera nyie!! hivi ninyi ni kina nani mnaoshabikia lockdown?mna faida gani na lockdown ya bongo? mnapenda chaos why? nyie si bure ni psychopaths! kama mnaogopa Corona si mhame nchi mnataka sie masikini tuhamie kwenu kuja kula? maambukizi ya Corona yako US wagonjwa wanaenda laki tatu sasa!! Italy muuguzi kajiua baada ya kuambukizwa, belgium bibi kafa kwa kugomea kisaidia kupumua, bongo ni salama wehu nyie msituchawie na kutuletea nuksi! Tumia akili utajua why Corona hits countries more and less bila formula!! Sie tumemuibia nani au kuuza mabomu kwa nani?
 
..vijana wa ccm ndio wanaofanya KUFURU wakati huu.

..wazee wa ccm msipowafunda siasa safi, na za hoja, vijana wenu hii nchi itasambaratika.

..mnawakuza vijana ktk mazingira ya kuamini ktk nguvu na ubabe na siku wakibaki peke yao wataumizana vibaya.
Vijana wa ufipa hawana nguvu kwani?.
 
kasi ya maambukizi ya bongo ilizidi lini? mtu mmoja kwa wiki nzima tena katoka na virus kuzurura huko na huko na wengine waliowekwa karantini wanapona ndo tufunge nchi uchumi ushuke? Brazil wamegoma lockdown pamoja na kushinikizwa na mabeberu kila dakika, hivi ninyi ni kina nani mnaoshabikia lockdown?mna faida gani na lockdown ya bongo? mnapenda chaos why? nyie si bure ni psychopaths! kama mnaogopa Corona si mhame nchi mnataka sie masikini tuhamie kwenu kuja kula? maambukizi ya Corona yako US msituchawie na kutuletea nuksi!

dawa ni kufungia kila anaekuja si kufunga nchi wabongo tuache akili za kuiga na kushikiwa kwa kila kitu always solution of a problem rests on a context!! ulaya italy wanapelekewa msosi home nyie mnaweza?

Hayo ya kuchagiza watu kuhama nchi ni hoja za kipuuzi kwa nini msihame nyie?

Kwa uelewa wako maambukizi yanaongezeka 1 kwa wiki? Tanzania tu? Na wewe umekubali?

Akili zako changanya na za kuambiwa, kwa maana umeshindwa kuchanganya za kuambiwa na zako.

Fungueni kabisa na mashule maana mmenawa hadi corona imekwisha. Ati tunataka chaos ili iweje.

Yakumbuke maneno yako na yetu come May 1.
 
This is heading the right path. Nilishastaajabu sana kuwa TRA mathalani kodi za Jumamosi na Jumapili nani anazikusanya. Hii mamlaka ilipaswa kufanya kazi masaa 24 na siyo hii ya 8-5 Mon to Fri. Kodi zetu hazikusanywi vyema. Mathalani transaction zinazofanyika usiku zote zinaweza kuwa zinapata baraka ya ukwepaji kwa kuwa kwa nini umlipe mtu aliyelala na mumewe kitandani wakati wewew unatoka jasho la tako.... inatia hadi hasira. Walipa kodi tunafanya kazi 24hrs na wakusanya kodi wafanye kazi 24hrs. Ningejisikai faraja sana na kuongeza uzalendo na nchi yangu hii ikiwa mfano saa tisa alfajiri nalipa kodi na saa kumi na mbili nasafiri kufuata mzigo. Ingeongeza maendeleo na uzalendo katika ulipaji kodi. Every development is a function of time, well spent. Huwezi kuwa na dakika tisini ndani ya dakika 10, I mean life has no fast forward button kama wanayofanya sasa mamlaka nyingi hasa za umma. Nchi iende 24 hrs kila sekta ya umma na kama ilivyo sekta binafsi uone ikiwa hatujawa ulimwengu wa 0 as it comes before 1st World country....I mean we will be second to none. Kudos BOT kwa game changer!!
 
Hayo ya kuchagiza watu kuhama nchi ni hoja za kipuuzi kwa nini msihame nyie?

Kwa uelewa wako maambukizi yanaongezeka 1 kwa wiki? Tanzania tu? Na wewe umekubali?

Akili zako changanya na za kuambiwa, kwa maana umeshindwa kuchanganya za kuambiwa na zako.

Fungueni kabisa na mashule maana mmenawa hadi corona imekwisha. Ati tunataka chaos ili iweje.

Yakumbuke maneno yako na yetu come May 1.
“Ati” ni neno latumika Mombasa na Zenj, tushajua wewe unakotoka! nyie pro lockdown ni wehu wa kupuuzwa tu! Big Up sana JPM akili ndogo haina nafasi bongo , data zasema ndani hakuna infections sasa uwafungie watu kwanini coz wazungu wanaopelekeana misosi home wamefungiwa? hiyo ni akili au matope? dawa kila anaekuja toka nje ya nchi kuzurura apelekwe karantini direct ONE MONTH si wiki mbili tena bila kujali ana virusi au hana coz virus wakipenya ni national disaster yule mama mashine hazikusoma Kia!!

Yes mi nasapoti shule zifunguliwe kwa kufuata Corona virus preventive measures ule muda ukifika sababu there is no point maisha kuendelea bongo baba na mama wanaenda mitaani kanisani msikitini sokoni wanapanda daladala kama kuna virus wakirudi navyo home watoto si wamefunga shule wapo home si watawaambukiza?
 
Kazi kweli kweli. Mkuu 'ati' ni kiswahili.

Zipo mada nyingi binafsi nimeandika kuhusu lockdown. Mimi ni pro lockdown kwani ningependa hili dhahama liishe once for all.

Hakuna haja ya jazba. Tatizo la ugonjwa huu liko kwenye transmission rate which is very explosive. Angalia hapa ulaya na marekani status one month span:

Angalia hizi takwimu uone jinsi ndani ya mwezi mmoja hali inavyoweza kuwa mbaya.

Yaani ndani ya mwezi au wiki chache hali inaweza kutoka kwenye makumi hadi makumi elfu

🇮🇹 Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases

🇺🇸 United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases

🇫🇷 France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases

🇩🇪 Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases

🇪🇸 Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases

🇮🇷 Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases

South Africa 🇿🇦
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases

.

Fuatilia status yetu mwisho wa mwezi. Fananisha hali yetu leo na wao ilikuwa ka ma sisi sasa hivi zimebakia historia.

Inaeleweka si rahisi kwa kila mtu kuuona ukweli huo kwa macho yasiyoona mbali vilivyo.

Humbly consider. See through.

Tuko hatarini mno kuliko mtu anavyokueleza. Tulikuwa na nafasi ya kujinasua. Tumepoteza kabla ya ugonjwa kuingia.

Maambukizi yakishafika kwenye mamia itakuwa basi tena.
 
Back
Top Bottom