kwa hasira: hack for learning | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa hasira: hack for learning

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief-Mkwawa, Oct 16, 2011.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  kuna tabia ya watu hapa jf mtu anapost kuhusu labda free internet au any hacking then watu wanampiga vijembe naombeni tujiulize mambo yafuatayo

  1.kuna hackerz mzuri duniani kama jeshi la marekani? Elites wote wapo kwao satelite zao zaona hadi vyoo vya uswahilini visivyo na bati

  2, je nisipojua kuhack ntapambanaje na hacker? Nitajuaje mbinu zake? Au nibaki kulalamika kila siku?

  3, je ni kweli nikihack kitu nyumbani kwangu for learning purpose ni dhambi? Bila kukifanyia biashara public?

  Baada ya kujiuliza hayo nawashauri watanzania wenzangu waamke nowadays hackers ndo nguzo ya science ya computer through hacking weakness ya system ndo inaonekana ni kama unavosema chama tawala na upinzani

  Ila tusihack kwa biashara kama kuuza hio ni dhambi but kwa kuelimishana kama hapa jukwaani ni sahihi
   
 2. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  sawa sawa mkuu lakini siku zote kwenye msafara wa mamba , kenge hawakosekani ,na vile vile huu uwanja ni mkubwa xana yawezekana unapo posta maujanja ya kuchakachua kitu fulan unakuta wanaoponda nao hutumia njia hiyo hiyo kuwaweka town xaxa huwa wanaona kama mnawahalibia diri.
  Na kwa sis tusiojua unakuwa bonge wa msaada.
  Pomoja sana mkuu usikatishwe tamaa na vijembe vya wachache.
   
 3. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,720
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mimi mwenyewe nilishaweka maujanja jinsi ya kuongeza spidi kwenye modem za airtel zinazokuja na line mpya na ujanja wanoutumia airtel wa kumpa zawadi mteja za 3gb ili atumie kwa wiki moja wakati wanafahamu line hiyo wameiseti kwa 2g badala ya 3g ambapo umetumia sana ni 1gb kwa wiki imeisha kwa maana 2gb zinarudi kwao,lakini wakuu walinibishia mpaka nilijuta kwanini nilandika hiyo thread.
   
 4. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  pole sana mkuu! Big up pia. Iyo k2 still works? Ningependa ungenipa link ya iyo thread yako. Naona nilipitwa na hili. Natanguliza shukran.
   
Loading...