Huyu jamaa amekaa kama dobi au fundi cherahani!
Lakini pia amekaa kama mtu anayependa kuchora picha, na hasa picha za wanyama.
NYONGEZA: Anaonekana alifika mjini ukubwani, anaonekana mama yake alifariki wakati jamaa akiwa mdogo sana. Inaonekana kwamba jamaa alipata makuzi ya taabu mno!
Katika kumwangalia mikono yake inaonekana pia amewahi kufanya kazi ya kuuza maji.
Nikimtizama inaonekana kwamba the next career move ni kuanza kuuza uzuri/urembo!