Yani sikuhizi ukiangalia muvi / series utagundua kwamba wameanza kuyapa nafasi kubwa mambo flani kuonesha kwamba ni kawaida, its ok, hakuna tatizo, n.k.
Kuna kijana mdogo age kama 16 yupo hapa kwangu kwa masomo, akiwa free huwa anapenda kuangalia series kwenye tv, leo nimewasha tv nikakuta kaisahau flash nikaona acha niicheki hata kidogo labda nitaipenda hasa ukizingatia wahusika ni watu weusi, inaitwa all american, kwa ufupi ni ya michezo ila nikaanza kuona wanaume wanakiss, mwanamke ana girlfriend wake, mwanaume kabadili jinsia, n.k. kijana huwa namuona anaicheki bila tatizo, hii imenipa alert.
Nchi kama za ulaya na marekani tunaona kila siku zinavyozidi kupigia kampeni mahusiano ambayo ni kinyume na maadili yetu waafrika, Leo hii hata kiongozi mkuu wa kanisa katoliki Papa Francis karuhusu kutoa baraka, Inaleta hamasa kukuza haya mambo.
Kumekuwa na wimbi kubwa la tv, muvi na sasa wanaingia kwenye cartoons kupigia debe haya mambo yaonekane ni ya kawaida.
Ni heri kuwaonyesha watoto tamthilia / katuni kutoka nchi za kiislam