Kwa hali iliyopo sasa hivi, bora nianze kutafta wadada wenye kazi nzuri au wale waliotoka kwenye familia tajiri

babako alivyyomuoa mamako alikua napesa....oa mwanamke mwenye tabia nzuri pesa zitatafutwa tu...motto wa kiume unataka wekwa ndani utafulishwa na nguo
 
Serious , siku zote masikini ndio binadam pekee anayelia lia nakuonekana kila kitu anaonewa.


Je mwanamke kutokua nakazi au pesa, kunaweza kuondoa upendo wake kwako???

Kama nimzigo kwann usimbadilishe awe unavyotaka?? Kwann usimpe kibiashara???

Kwaiyo wee kwa mwanamke, haufuti Upendo wako bali kazi na pesa ili msaidiane??

Huon unaonekana kama una madem kibao ndio maana kila ukipigwa mzinga, unaona hupendwi???

Ungekua mwanaume makin. Kwann usitulie na mwanamke mmoja, utakayeona huyu unaweza kumfanya akawa huru kiuchumi???


ACHA KULALAMIKA JAMAA, HUO NI UMASIKIN !!!.


Kwanza hawa madem wenye kaz mwisho Mshahara wake hutojua unakoenda .. Akiwa wakishua Maisha yake yatakua yagaharama za ovyoovyo ... sasa unavyoonekana ,,, utaweza kumudu ????
 
Mwanzo 3:16-17 jitahidi usome utakuja kufuta mwenyewe hapa
 
Tafuta madada poa hawana gharama. 20000 yako unakula mzigo unarudi kulala home. Kama unataka wa kuoa ndio utafute demu. Kama ni starehe uwe unaenjoy na madada poa
 
Madada wa uswahilini siwezi date nao tenaa.
Dem mnaachana mwezi mzima anakupiga mabango whatsapp status..
Bora mamanzi walio busy na vitu vya maana huwezi kukuta wana ujinga wa majungu status na insta
 
Watoto wa uswahilini wanaita Kula faida.

Au wazungu husema well established women. Changamoto inakuja unapokuwa huna maamuzi Wala sauti sababu yet ndio pochi Nene..
 
Nambie mzee wa Dubuly,vp mbona unataka kubadilishia gia angani?
 
sifa ya mwanamke bora ni yule mwenye akili ,achana na hizo takataka nyingine sijui awe na pesa sijui chura,utakuja kulia chaliii
sisi tulio kwenye game kitambo tunayajua haya..
wewe unataka demu mambo safi anakuambia baby nina birthday yangu gharama nusu natoa na wewe changia nusu ,bado hujakwepa gharama .Halafu usikwepe gharama ukiwa mwanume ,pesa kama ipo mpe kama hakuna mwambie asipoelewa achana nae simple principle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…