Kwa hali iliyopo sasa hivi, bora nianze kutafta wadada wenye kazi nzuri au wale waliotoka kwenye familia tajiri

Hili ni kweli na wala si katika mpenzi tu hata ukiwa na ndugu au Rafiki masikini mara nyingi ni mzigo.

Haishangazi kuona matajiri huwa hawafanyi urafiki na masikini coz wanaijua siri hii.

Ila upande mwingine huu ndo upendo kama uko tayari kurisk welfare zako kwa ajili ya mpenzi , basi hiyo ni dalili ya commitment ya juu sana

Japo usipoangalia utakua unateketea ngali wenzako wanapata mwanga
 
Back
Top Bottom