Kwa hali iliyopo sasa hivi, bora nianze kutafta wadada wenye kazi nzuri au wale waliotoka kwenye familia tajiri


wax

wax

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Messages
2,958
Likes
1,245
Points
280
wax

wax

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2015
2,958 1,245 280
Hilo jasho nakula mwenyewe Sio na mwanamke kila mtu alipewa adhabu yake
Naona unapenda kitongaaaaa
‘’Mwanamke atazaa kwa uchungu mwanamme atakula kwa jasho’’
Huu mstari hukuwah kuusikia popote mkuu!???
 
Chiwa

Chiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2008
Messages
2,143
Likes
1,501
Points
280
Chiwa

Chiwa

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2008
2,143 1,501 280
kwa mazingira hayo unayoyataka dogo umekwisha! nilifikiri utaangalia wanawake wenye akili na hekima? hapa mwisho wako unaweza kuwa sio mnzuri katika kutunza familia na wao hawatakupenda ila utatumika.
 
ziloi

ziloi

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2018
Messages
400
Likes
398
Points
80
ziloi

ziloi

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2018
400 398 80
Hahahaa mwaka huu tutasikia mengi
 
soul provider

soul provider

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2014
Messages
1,072
Likes
1,128
Points
280
soul provider

soul provider

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2014
1,072 1,128 280
Ila dunia sio fair wakat wengine wako wanalalamika kumhudumia mwanamke
Kuna mtu anahonga range au kisiwa na halalamik....
yeah hatufanani mkuu muhimu maisha yanasonga
 
Zeus1

Zeus1

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Messages
2,390
Likes
1,984
Points
280
Zeus1

Zeus1

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2017
2,390 1,984 280
Umeamua jambo la Maana sana
Fyeeekelea mbali omba omba maana ni mzigo sana walahi
Hivi wewe humwombagi pesa mume wako(kama umeolewa)??
 

Forum statistics

Threads 1,238,954
Members 476,289
Posts 29,337,891