Kwa hali hii ni bora niahirishe kuoa tu

kujua mtoto ni wako au sio wako ni rahisi sana.damu haipotei nenda kwa hao watoto ukiwa na ndugu yako mkubwa,either kaka,dada,baba mdogo au mzazi mkague mtoto kama ni wako kuna alama tu za ukoo wenu zitaonekana ila kama itatokea hamjafafana andaa laki tano kapime DNA .ila nina uhakika huyo mwanamke amepata bwana na huyo bwana kajitolea kubeba mwanamke na watoto hivyo ushatolewa kwenye reli mkuu
nakumbuka wife alienda kujifungulia kwao so baada ya kujifungua nikampeleka home, ile tumefika tuu mother akafungua gate akasalimia then akachukua mtoto akasepa nae ndani ambako mzee alikua anasubiri.... baada ya kama dk kadhaa akatoka na kunipa pongezi kwa kuwaletea mjukuu (nadhani kuna namna waliproove huko chemba). Nachotaka kumaanisha ni kua ni kweli ipo namna wazee wanajua namna ya kutambua haya mambo bila DNA.
 
dunia ina changoto sana, nimejikuta nadondosha chozi pasipo kutarajia,

kwanza pole kwa hayo uliopitia, pili inawezekana kweli kukawa na mapunguf flan ya ki- biological ambayo kwa namna moja ama nyingine huwez zalisha mwanamke, maana inawezekana huyo bi dada kajiridhisha kuwa hauna uwezekano wa kumpa mimba kwa maana either mlikaa kipindi kiref pasipo ww kumbebesha mimba au alikutegeshea tunda siku za hatari bado hukuweza kufunga gori lolote hivyo ikambidi akatafte wafungaji, hivyo basi me kwa upande wangu sishauri uende ukachukue DNA maana ni ghari na wakati mwingine madoctor huwa hawatoi majibu sahihi kwa kuepusha tafran baina ya ww na uliedhani kuwa ni mzazi mwenzako, cha mshingi hapo kapime ili ujue kama una uwezekano wa kuzalisha.TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mkuu pole sana kwa mitiani iliyokukuta kwakweli waswahili wanasema duniani sio sehemu salama kabisa kwakweli yanayoendelea yananifanya niamini kauli iyo piga moyo konde na kama hutojali jikamue ukapime DNA ndugu yangu mana inawezekana ameamua tu kukupoteza kiaina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana ikawa kweli, lakini wanawake walio wengi ni dhaifu sana linapokuja swala la hisia, NIMEWAZA KWAMBA KWA HILI LA KUOKOKA inawezekana kabisa kuwa ameniambia uhalisia wa jambo lenyewe!

Watu wengi linapokuja swala la imani, likakaa sawa sawa katika hisia, tunaweza kusema siri ambazo hatujawahi kuzisema popote!!
Mkuu mpeleke mahakaman wakulipe gharama zako ulizolea kuanzia mimba mpk ulipofikia huko kuoka kwake aende akaongee mahakaman basi haiwi mmoja 2 wote akunyang"anye hapana mkuu kuwa mkali ili iwe fundisho kwa wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mku pole sana jaribu kutulia kwanza mwisho wa siku hawa wazazi wenzako watakupotezea mda na kumbuka uzeeeni fainali
 
Mwanzo ulianza vizuri sana kuwa sasa unataka kuanza ukarasa mpya. Huku mwisho tena umeharibu unataka kuingia kwenye vita ingine kubwa ya kupigania watoto. Mkuu damu haipotei kabisa. Muhimu hapo akuhakikishie kuwa hatakuwa na tatizo kwenye matunzo ya hao watoto na kwamba baba zao wapo na watawatunza baaas!!! Move on man!!! Move on. Muulize mwanaume yoyote humu JF ikiwa ana uhakika wa 100% kama watoto/mtoto ni wakwakwe, mimi ninao pia ila sina uhakika kama wa kwangu!!! That's the fact. Wanaume tukitaka tusitake huo ndio ukweli. Mkuu usigeuka nyuma nenda kaanze Maisha mapya na huu mwaka mpya.
 
Mwanzo ulianza vizuri sana kuwa sasa unataka kuanza ukarasa mpya. Huku mwisho tena umeharibu unataka kuingia kwenye vita ingine kubwa ya kupigania watoto. Mkuu damu haipotei kabisa. Muhimu hapo akuhakikishie kuwa hatakuwa na tatizo kwenye matunzo ya hao watoto na kwamba baba zao wapo na watawatunza baaas!!! Move on man!!! Move on. Muulize mwanaume yoyote humu JF ikiwa ana uhakika wa 100% kama watoto/mtoto ni wakwakwe, mimi ninao pia ila sina uhakika kama wa kwangu!!! That's the fact. Wanaume tukitaka tusitake huo ndio ukweli. Mkuu usigeuka nyuma nenda kaanze Maisha mapya na huu mwaka mpya.
Ahsante kwa courage mkuu, ndiyo dunia yenyewe!!!
 
Nadhan hapo kapime kwanza Fertility ya mbegu zako. Kama uko fresh, fanya mambo mengine ya maendeleo, hao watoto atawaleta mwenyewe kama ni wa kwako kweli.
 
Dunia hii raha sana wakati wanaume wanakataa watoto wao uku kuna wanaume wanalea watoto ambao sio damu yao.....hahaha usichoke mkuu ndo ukubwa huo..

am better here
 
yani mtoto wako utamjua tu..mi wangu ningekataa hata mawe yangeniumbua.....kila anayemuona na kuniona basi anapigia mstari...mpaka kutembea watu ndio wanaooona na kusema
 
Wanasemaga majaribu ni mtaji....
Wanasemaga mambo hayatokei tu pasipo sababu ila waweza maliza maisha yako duniani na kamwe usiijue sababu ya kwanini wayapitia magumu maishani. .



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom