mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Uwe makini na hiyo mishikaki unayoipenda na uichunguze vizuri kama inatokana na wanyama ambao huwa unakula au wale ambao huwa hauli.Utakuja kujuta ukikuta matokeo ni tofauti na taswira ya wanyama uliyojijengea kichwani ni tofauti na wale wanyama ambao ulikua unafikiria kua ndio chanzo cha hiyo mishikaki yako pendwa.Daaah mi nikajua mshkaki mshkaki...... hehehehhe. Ila mshkaki ya kule karibu na ledger plaza bahari beach hotel mitamuu. ..... nitaiibukia mwezi wa nane nikiwa off.
Ni mitamu kutokana na nature ya mnyama. Ile nyama hata uiunge na chloroquine bado itakuwa tamu tuu. Pole kwa ambao hawaitumii.Daaah mi nikajua mshkaki mshkaki...... hehehehhe. Ila mshkaki ya kule karibu na ledger plaza bahari beach hotel mitamuu. ..... nitaiibukia mwezi wa nane nikiwa off.
Ni mitamu kutokana na nature ya mnyama. Ile nyama hata uiunge na chloroquine bado itakuwa tamu tuu. Pole kwa ambao hawaitumii.
Uwe makini na hiyo mishikaki unayoipenda na uichunguze vizuri kama inatokana na wanyama ambao huwa unakula au wale ambao huwa hauli.Utakuja kujuta ukikuta matokeo ni tofauti na taswira ya wanyama uliyojijengea kichwani ni tofauti na wale wanyama ambao ulikua unafikiria kua ndio chanzo cha hiyo mishikaki yako pendwa.
Hapa topic inamaanisha ubebaji wa abiria mmoja kwenye pikipiki.
Wadau wenzangu sheria inasema kuwa waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wasibebe mishikaki na badala yake wabebe abiria mmoja lakini naona kama sheria hii haisimamiwi vizuri na wahusika kama ilivyoaagizwa.
Mfano angalia huyu hapa,.
Hii Sasa ni hatari zaidiView attachment 364287na Kuna bike naionaga Inabeba watoto km 7wa shule
Huwa nakula nyama yoyote miongoni mwa hizo zilizoorodheshwa,lakini niwe nina uhakika kua nyama ninayokula ni nyama inayotokana na wanyama wanaotoa hizo nyama ulizoorodhesha.Sili nyama hovyohovyo kwasababu ya matukio mbalimbali ambayo nimewahikuona yanayohusu uuzwaji wa nyama ambazo huwa sili mathalani MBWA,PAKA et al. kwahiyo kua makini.Weye wala nyama ipi? .....
Ya bata....?
Ya kuku....?
Ya ng'ombe....?
Ya porini. ...?
Halafu nyama ikishatungwa mshkaki utamu wake unazidi ule wa nyama ya mchuzi.......
Kasie.
Huwa nakula nyama yoyote miongoni mwa hizo zilizoorodheshwa,lakini niwe nina uhakika kua nyama ninayokula ni nyama inayotokana na wanyama wanaotoa hizo nyama ulizoorodhesha.Sili nyama hovyohovyo kwasababu ya matukio mbalimbali ambayo nimewahikuona yanayohusu uuzwaji wa nyama ambazo huwa sili mathalani MBWA,PAKA et al. kwahiyo kua makini.