Tetesi: Kwa Hali Hii Mikataba Mibovu Isipite Kweli?

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
651
853
Kwa Hali Hii Mikataba Mibovu Isipite Kweli?

Wakati wenzake wanajadiliana kwa hoja, yeye kauchapa usingizi totoro. Halafu bado akataka kurudi tena bungeni. Na mtu kama huyu si ajabu akajiita mzalendo.

Hawa jamaa wanatia hasira sana.

wasira chapa usingizi.jpg
 
Kwa Hali Hii Mikataba Mibovu Isipite Kweli?

Wakati wenzake wanajadiliana kwa hoja, yeye kauchapa usingizi totoro. Halafu bado akataka kurudi tena bungeni. Na mtu kama huyu si ajabu akajiita mzalendo.

Hawa jamaa wanatia hasira sana.

View attachment 523971
hapo akiamkatu, Anagonga Meza na kusema Ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo. Na Spika Anasema walio sema Ndiyoooooo wameshinda.
 
Huyo mzee anateseka sana kwa sasa, japokuwa hana njaa, lakini alizoea sana maisha ya 'Ikuru'.
 
Dhambi ya usaliti aliyoifanya bunge maalum la katiba ndio imemfanya ateseke na kupata hasara kwenda mahakamani

Nadhani Bulaya amemstaafisha siasa mzee huyo rasmi
 
Back
Top Bottom