Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Mkuu kwanini tusianzishe kanisa likawa the best worldwide Hadi no. 11 nikasema T. B Joshua Tunaeza mfunika
Ila Kuanzia 12 Naona kama yote ya Lucifer
Asnate mkuu lakini binafsi sina mzuka na dini wala imani yoyote kwa sababu siamini chochote.Lakini nina ndoo ya kujenga kanisa na msikiti pamoja kisha nivikibidhi kwa serikari.Namanisha jengo hilo litatumika kama kanisa siku ya jumapili na jmosi na ijumaa litatumika kama msikiti.
 
Hahaha Nabii Titto tulimuamini, serikali wakatuambia eti kumbe ni kichaa wao wa muda mreeefu.
Ukiendelea hivi siku Mambo Sasa akikudaka atatuambia tu huo u genius wako ni kweli au nawe ni kichaa wao wa muda mrefu.
Mwenzako Dr.Shika tuliambiwa tumsamehe kachanganyikiwa, nasisi hatukuwa na iyana naye siku hizi anatangaza sport pesa, Nabii Tito bado hatujajua tumfanyeje nawewe ndio umeanza, sijui kwanini hamtumii dawa.
 
Usijali wewe sio wa kawaida wala sio wa ajabu wewe una hali mbele.Kwanza kabisa wewe una aina ya roho ambayo haitulii na wewe yaani roho yako sio yako hivo unapokuwa karibu na wat nan viumbe vingine ro ho nyingine huja na kuchukua nafasi katika mwili wako.

Sio tatizo ila kadiri unavokuwa mtu mzima na majukumu kuongezeka hali hio itapungua na kutoweka ila utapata hali tofauti ambayo itakufanya kujisikia mpweke sana.Na iwapo utakutana na hali hio ni muhimu kuzungumza na wataalam kwa ni inawezakukupelekea kuwa na suiside tendency,

Kwa sasa na kwa umri wako usiwe na wasiwasi furahia hiyo karama na kuna mambo mengi unayowezakufanya kwa kutumia uwezo wako huo iwapo unataka
 
Hahaha Nabii Titto tulimuamini, serikali wakatuambia eti kumbe ni kichaa wao wa muda mreeefu.
Ukiendelea hivi siku Mambo Sasa akikudaka atatuambia tu huo u genius wako ni kweli au nawe ni kichaa wao wa muda mrefu.
Mwenzako Dr.Shika tuliambiwa tumsamehe kachanganyikiwa, nasisi hatukuwa na iyana naye siku hizi anatangaza sport pesa, Nabii Tito bado hatujajua tumfanyeje nawewe ndio umeanza, sijui kwanini hamtumii dawa.
Ulichoandika nilikitegemea kutoka kwako siku ya leo
 
Sidhani kama inatosha kuwa categorized genious. Nadhan its much more spiritual. Jaribu kuconsult viongozi wa kiroho wanaweza kukupa mwanga.
 
kujua jambo kabla ya kutokea huwa ni kipaji cha manabii,haijalishi unamwamini Mungu ama la hata mimi ninaweza jua mtoto akiwa tumboni ni wa jinsi gani.
Mambo megine ni ya kawaida tu kujua kusoma mapema kama wazazi wameamua kukufundisha mapema inawezekana tu

Kukosa kulia ulipozaliwa siyo tabia ya wenye vipaji wenye vipaji hulia haraka sana wanaita apgar score usipolia maana yako ubOngo wako uko na mtindio.
Nahisi kama umetengeneza habari ukichanganya na avatar yako . .
 
Back
Top Bottom