Joso Member Joined Aug 2, 2012 Posts 98 Reaction score 21 Feb 24, 2013 #2 No Way to Escape!!:eyeroll1:
Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 652 Feb 24, 2013 #3 Nadhani wananchi hatujaelewa kwamba serikali imeenda likizo!!
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,956 Feb 24, 2013 #4 distazo said: Nadhani wananchi hatujaelewa kwamba serikali imeenda likizo!! Click to expand... Mkuu distazo Hiyo Siri-kali itarudi lini Likizo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
distazo said: Nadhani wananchi hatujaelewa kwamba serikali imeenda likizo!! Click to expand... Mkuu distazo Hiyo Siri-kali itarudi lini Likizo?
KIMBWANGAI Member Joined Mar 7, 2012 Posts 75 Reaction score 22 Feb 24, 2013 #5 Ari zaidi. Nguvu zaidi na kasi zaidi.
Mwanahisa JF-Expert Member Joined Jun 29, 2012 Posts 1,382 Reaction score 518 Feb 24, 2013 #6 Tumeongeza vyumba vya madarasa, na vyoo!
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,036 Reaction score 168,666 Feb 24, 2013 #7 ili kukuza kiwango cha ufaulu ni lazima kuanzia sasa waalimu wote wawe wanavaa sare na wanafunzi wote wawe wanavaa nguo zao za nyumbani
ili kukuza kiwango cha ufaulu ni lazima kuanzia sasa waalimu wote wawe wanavaa sare na wanafunzi wote wawe wanavaa nguo zao za nyumbani
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Feb 24, 2013 #8 "Nimesema mniite bwana MAENDELEO" my yeboyebo
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,506 Feb 24, 2013 #9 CCM hoyeeeee! Mrs.CCM (CUF) hoyeeeeee!
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,373 Feb 24, 2013 #10 MziziMkavu said: Mkuu distazo Hiyo Siri-kali itarudi lini Likizo? Click to expand... wananchi mtakapoamka na kujua wajibu wa serikali kwenu na majibu wenu kwa ujumla Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MziziMkavu said: Mkuu distazo Hiyo Siri-kali itarudi lini Likizo? Click to expand... wananchi mtakapoamka na kujua wajibu wa serikali kwenu na majibu wenu kwa ujumla