Kwa hali hii CCM katu itaendelea kushinda

Kwa hali hii CCM katu itaendelea kushinda

maryedow

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
257
Reaction score
88
Katika hali ya kustaajabisha jana nimeona vijana wakiwa wanazomea msafara wa mgombea wa ccm huku wakisema wanataka mabadiliko na mbaya zaid wakawa wanaimba wanamtaka waziri mkuu aliyefukuzwa kwa wizi wa richmond bwana Lowassa nilipata wakati mgumu kuamini kama hawa vijana kweli ni akili zao baadaye ikanilazimu niwatafute mmoja mmoja na kuwauliza na majibu waliyoto ni kuwa walikuwa wameandaliwa na Gwiji wa maigizo huko mbeya ili watimize adhima hiyo ndiyo maana nasema wakati ccm inachanja mbuga kuzisaka kura kwa wananchi wenzangu chadema wanakodi watu kwa kuwanunulia viroba ili wanywe na wamzomee Magufuli kwa lengo la kumfarahisha lowassa lakini katu asilani nawaambieni hata 2010 mbeya walimzome JK lakin leo hii ndio rais wetu kwa hiyo vijana ni vyema mkaacha kutumiwa kama kondomu na kutwa mara tu baada ya mtu kukidhi haja zake
 
hahahahaha hapo ulipo umeshafikiwa na mabadiliko ya lowasa unaweweseka pole sana aisee
 
Vitu kama hivi ni kawaida sana hasa unapokuwa na watu kama sugu ambaye eti ndiyo mbuge wa hapo yeye mwenyewe muhuni na mvuta bangi unategemea nini.
 
Katika hali ya kustaajabisha jana nimeona vijana wakiwa wanazomea msafara wa mgombea wa ccm huku wakisema wanataka mabadiliko na mbaya zaid wakawa wanaimba wanamtaka waziri mkuu aliyefukuzwa kwa wizi wa richmond bwana Lowassa nilipata wakati mgumu kuamini kama hawa vijana kweli ni akili zao baadaye ikanilazimu niwatafute mmoja mmoja na kuwauliza na majibu waliyoto ni kuwa walikuwa wameandaliwa na Gwiji wa maigizo huko mbeya ili watimize adhima hiyo ndiyo maana nasema wakati ccm inachanja mbuga kuzisaka kura kwa wananchi wenzangu chadema wanakodi watu kwa kuwanunulia viroba ili wanywe na wamzomee Magufuli kwa lengo la kumfarahisha lowassa lakini katu asilani nawaambieni hata 2010 mbeya walimzome JK lakin leo hii ndio rais wetu kwa hiyo vijana ni vyema mkaacha kutumiwa kama kondomu na kutwa mara tu baada ya mtu kukidhi haja zake

Haya mtafiti wa TWAWEZA umefanikiwa£####tunataka mabadiliko£###Viva Lowasa 2015#
 
Jamani msishangae HII ndio hulka ya chadema siku zote akili zao zinaongozwa NA viroba hata humu hawakawii kutukana
 
Tukaneni mnavyoweza ila kura zetu zote ni kwa Lowasa! Hata magoli ya mkono mnayojaribu kutengeneza yatafeli!
 
kwa hali hii ya twiga kupanda ndege/bilioni kuitwa vijisent/ml.kumi kuitwa hela ya mboga ccm itatawala milele.
 
Wanaofaa kuchaguliwa ni majizi ya fedha za ESCROW?
 
Mchawi mpe mwanao akulelee uone kama ata mroga au mwizi mpe nguo akutunzie kama itapotea haaa ccm death is 0° near
 
nazan unaota rud ukalale tena af uamke then uje hapa
 
Weweeeeeeeeeee tunaimanii na lowasa..
chagua lowasa...
Kipaumbele cha kwanza elimu.
Cha pili elimu
Cha tatu elimu.
Na wew mleta uzi nazani hivi vipaumbele vitakusaidia sana
 
Mtoa Uzi JARIBU Kuweka Hoja Yako Vizuri Ieleweke!! Waamanisha Nini!!??
 
Back
Top Bottom