Kwa hali hii ajali zitapungua?

Kwa hali hii ajali zitapungua?

supermario

Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
48
Reaction score
15
Huyu ni mmoja kati ya vijana wanajishughulisha na saana za muziki wa kizazi kipya, bongo movie na pia ni bloga. Hii picha ni yake akiwa anaendesha gari kwa spidi ya 180 na kapiga picha kisha akaweka kwenye mitandao ya kijamii kwa kujipongeza.

Kuna akili kweli kichwani? Hawa ndio wanataka kuwa mastaa na mfano wa kuigwa? Bloody fool! choo.PNG
 
Huyu ni mmoja kati ya
vijana wanajishughulisha na saana za muziki wa kizazi kipya, bongo movie
na pia ni bloga. Hii picha ni yake akiwa anaendesha gari kwa spidi ya
180 na kapiga picha kisha akaweka kwenye mitandao ya kijamii kwa
kujipongeza.

Kuna akili kweli kichwani? Hawa ndio wanataka kuwa mastaa na mfano wa
kuigwa? Bloody fool!View attachment 93658

hakuna ukweli wowote hapo..?kwa spd hyo alikuwa barabara gani tz?
 
Huyu ni mmoja kati ya vijana wanajishughulisha na saana za muziki wa kizazi kipya, bongo movie na pia ni bloga. Hii picha ni yake akiwa anaendesha gari kwa spidi ya 180 na kapiga picha kisha akaweka kwenye mitandao ya kijamii kwa kujipongeza.

Kuna akili kweli kichwani? Hawa ndio wanataka kuwa mastaa na mfano wa kuigwa? Bloody fool!View attachment 93658

polisi wanatakiwa wachukue hio clip from his facebook page and charge him for dangerous driving.....i can tell hio gari ni Altezza so its so simple to identify him/her since very few bongo flavor/movies artists drive dat car
 
mkuu wewe unazungumzia 180??? Kiberiti changu kiko na speed 220 na huwa namaliza na kukopa nyingine.Ni kawaida sana Ajali ni ajali mkuu hata kama uko 80Kms/hr.
Kama Dar Mwanza-Huwa napaa zaidi ya Fastjet.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom