Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

Yani gazeti linachukua taarifa kutoka instagram kwa ki-Mange aibu hii jamani
 
Mwanaidi Kamese yuko tayari kutoa ushahidi, anamfahamu Daudi Bashite aliyefeli darasa la nne Shule ya Msingi Kolomije na kwenda kuendelea na darasa la tano Mwanza.
Kwani kakuambia kuwa amekataa mpaka atake shahidi mbona we we hutuonyeshi matokeo yako unaanza kushadadia ya mwenzako. Watu wengine bhana wana akili za kushikiwa kweli
 
Mwambie mshkaji akae kimya ale nchi sahizi amekwepa ishu ya vyeti so asigombane na watu tena.Yeye katusua atulie huu mji una wenyewe
Atulie kisa yule mwizi wa michango ya mataahira?
 
Kwani kakuambia kuwa amekataa mpaka atake shahidi mbona we we hutuonyeshi matokeo yako unaanza kushadadia ya mwenzako. Watu wengine bhana wana akili za kushikiwa kweli
Tukiamua kuwataka waweke matokeo yao hapa hutakaa uwaone na umbeya wao. Wanachongoa kama vikasuku vile
 
Huyu naye si aliyeandika kwenye account yake kwamba Mkuu wa Mkoa angekuwa mgeni rasmi siku ya wanawake duniani??? aliomba radhi????? naanza kuamini maneno ya Mange....
 
Mkuu Wille, nakuunga mkono, naunga mkono hoja Tanzania Daima waombe radhi Watanzania.

Paskali

Na Wewe leo ni wa kuyasema haya Mkuu? angalia Mkuu utawafanya Watu waamue kufukua makaburi yako. Wewe mwenyewe wakati ukitangaza na hata ukiandika una uhakika hukuwahi kuongeza chumvi au kupotosha? Uzuri ni kwamba humu JF Watu wengine tunajuana kindakindaki hivyo sometimes tujitahidi kuwa makini na tuache kuwa Wanafiki wa kutukuka.
 
Back
Top Bottom