Kwa Gentleman tu

Elewaneni fresh hela iwepo mengine ni ngonjera tu
 
Hapa kilichobakia ni upate ofisi tu kwaajiri ya vijana kuja kulipia semina elekezi za mahusiano kabla ya ndoa.
 
We endeleza u gentleman wako uishiwe kuitwa church boy udharaulike, wahuni wakuchapie ndo utajua maana ya dunia hadaa ulimwengu shujaa...
We fanya yote ndo utajua kwa nini wanawake sio viumbe vya kuviamini bado gangster hamfanyii yote hayo na mtoto anadata na pigo zake vibaya tu
 
MMEONA HAPO NAMBA 3 NA NAMBA 5? MMEONA UMUHIMU WA MAKALIO......?HALAFU MNASEMAJE HAPA WAZEE WA MANGE KIMAMBI? TAQO KWANZA MENGINE BAADAE😆🙏🤝
 
Yani kama ukitaka uonekane fala , msenge , na mjinga wa mwisho . Fanya hayo ulioyaorodhesha hapo . Na utachapiwa sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…